Yanga kumrudisha Niyonzima: Wapo sahihi au wamekiri udhaifu wao hadharani?

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
wadau wengi wamesema viongozi wa yanga wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kushindwa kusimamia maamuzi magumu waliyofanya kwa kumrudisha mchezaji waliyemfukuza kwa mbwembwe nyingi.
karibu tena Niyonzima
 
Ingawamimi sio yanga lakini niliwaungamkono kwa uamuzi wao wakuvunja mkataba sio wa kumdai mamilioni kwani hawa wachezaji wa kigeni hasa Nyiyonzima wamekuwa hawaheshimumikatba yao ila wangempiga hata faini liwe fundisho kwani hii tabia imekuwa ikijirudia
 
wamemrudisha tayari? kama ni kweli basi hii inaonyesha kua walikurupuka
waliiga kwa serikali ya magufuli sijui??
eti maamuzi magumu!!!
 
Haruna hakufukuzwa, ili mtu afukuzwe lazima aitwe na kupewa barua ya kusimamishwa ama kufukuzwa hilo halikufanyika labda niseme Niyo alichimbwa biti kupitia media lkn hakukuwa na jumbe rasmi toka yanga kwenda kwake.
 
Na hiyo ilikuwa ni pure balloon test.
 
wadau wengi wamesema viongozi wa yanga wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kushindwa kusimamia maamuzi magumu waliyofanya kwa kumrudisha mchezaji waliyemfukuza kwa mbwembwe nyingi.
karibu tena Niyonzima
Teh....

Naona Simba mnalia tu....

Imekula kwenu...

Mlitaka wamuache mumchukue....

Ajabu eti mtu wa Simba unamkaribisha tena Niyonzima....
 
wadau wengi wamesema viongozi wa yanga wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kushindwa kusimamia maamuzi magumu waliyofanya kwa kumrudisha mchezaji waliyemfukuza kwa mbwembwe nyingi.
karibu tena Niyonzima
Yanga na ccm same same... Sio rangi tu bali mpaka matendo
 
Ni jambo jema kumsamehe lakini nadhani Yanga wanahitaji kujifunza kutokana na hilo kuweka utaratibu wa kushuhulikia matatizo kama haya lakini pia kua makini na usajili haswa wa wachezaji. Kipaji bila nidhamu hakimuathiri mchezaji pekee bali timu nzima. Wachezaji wengi wanaozisaidia timu zao wana vipaji vya kawaida sana lakini wana nidhamu ya hali ya juu sana. Nidhamu ya hali ya juu imetuangusha na inatuangusha kuwa na wachezaji wa kutegemewa.
 
Back
Top Bottom