Yanga kulilia Ufadhili wa Manji: Taswira ya Taifa letu, kutegemea Wafadhili!

Lakini kosa ni la nani? ni Wachezaji au jamii imeshaamua kuwaiga viongozi wa nchi na serikali yetu katika utegemezi?
 
Katika kilio, Wachezaji wamedai kuwa Uongozi ulifanya mambo hovyo na hivyo ndio maana wanamlilia Manji.

Watanzania tunalia kuwa Uongozi wetu nimbovu, je tumlilie Manji yupi?

Sasa kama hata Uongozi wa mpira tunashindwa, je ni lini Tanzania itapata viongozi wenye kujituma na wabunifu ambao si kuhamasisha tuu, bali hata vitendo vya kuchapa kazi na kujenga imani chanya ya mabadiliko?
 
....after you guys decide to come back and save your mother-country
 
Rev.Kishoka, Niliisikia habari hii jana kwa masikitiko makubwa sana. Hivi sisi tatizo letu kubwa katika akili zetu ni nini? Bila kuwa na neno wafadhili ndio hatuendi mbele? na mbaya zaidi ufadhili huo hatujali unatoka kwa nani. Unamtuhumu mtu kakuibia usiku na asubuhi unampigia magoti kumwomba sukari.
Natatizo hili la ombaomba haliko ktk Club tuu, hata serikali yetu ndio usiseme maana mpaka inajisifu kama vile kuomba ni SIFA.

Chakaza and Reverend;

Hayo ndio matatizo yetu, tumepiga kelele kwamba Manji mwizi weweee lakini akiondoka tunalia, ni aibu kubwa sana kwetu waswahili!!!

Naskia hadi mkulu naye amemuomba abaki kuifadhili Yanga... Hii inaleta picha gani kwa mtu ambaye anatakiwa kuwa black-listed?

Tanzania tuna ardhi na tuna wapenzi wa kweli, yaani wazawa wameshindwa kabisa kuwa na biashara (yanga kampuni) na kujiendesha mpaka jamaa awe pale??

Ndio maana ufisadi hauishi aisee
 
Katika kilio, Wachezaji wamedai kuwa Uongozi ulifanya mambo hovyo na hivyo ndio maana wanamlilia Manji.

Watanzania tunalia kuwa Uongozi wetu nimbovu, je tumlilie Manji yupi?

Sasa kama hata Uongozi wa mpira tunashindwa, je ni lini Tanzania itapata viongozi wenye kujituma na wabunifu ambao si kuhamasisha tuu, bali hata vitendo vya kuchapa kazi na kujenga imani chanya ya mabadiliko?

Labda tumpe manji urais... na sisi tufaidi hayo wanayofaidi wachezaji wa yanga!!! YES MANJI FOR PRESIDENCY, REASONS? ASK YANGA PLAYERS, UONGOZI AND FANS!!!:confused:
 
MTM umelonga, maana akili zetu huko ndiko zilikofikia
 
Leo Yanga wanatangazia umma, kuwa Mfadhili kaamua kurudi.

Je iko siku CCM watatutangazia kuwa Mkoloni kaamua kurudi baada ya sisi kumbembeleza kwa kumuomba misaada kila siku?
 
mada yako nzuri lakini ni ya kinafiki tuambie ni timu ipi ambayo inajitegemea hapa nchini ukiondoa timu ya azamfc
 
Rev.Kishoka, Niliisikia habari hii jana kwa masikitiko makubwa sana. Hivi sisi tatizo letu kubwa katika akili zetu ni nini? Bila kuwa na neno wafadhili ndio hatuendi mbele? na mbaya zaidi ufadhili huo hatujali unatoka kwa nani. Unamtuhumu mtu kakuibia usiku na asubuhi unampigia magoti kumwomba sukari.
Natatizo hili la ombaomba haliko ktk Club tuu, hata serikali yetu ndio usiseme maana mpaka inajisifu kama vile kuomba ni SIFA.
Leo hii mmekuwa watetezi wa watuhumiwa hao hao wakiwemo Acacia
 
Back
Top Bottom