Yanga: Jerry Muro aongelea kipigo cha Mo Bejaia, awapa onyo Simba kuhusu Kessy

yanga akili zao fupi sana hivi simba na yanga nani aliyeanza kuonyesha kutokuwa na uzalendo inawezekana wakati Simba inafika fainali ya CAF jerry murro ama kalikuwa katoto au kalikuwa kijijini kwani yanga ndio walioanza kutoonyesha uzalendo na kushangilia wageni pia yanga ndio walioanza kuvaa jezi za timu pinzani sasa hivi sijui kwanini wanalialia kutaka simba waonyeshe uzalendo na huyo rage afyate mkia kama anataka ahamie yanga alikuja kuongoza simba kwa kuuza wachezaji wazuri lakini akashindwa kujaza mapengo yake ingawa alikuwa na pesa za kusajili kipindi chake ndio simba walianza kupeleka wachezaji yanga kuanzia yondani hadi mbuyi twite pia alimuuza okwi kwa mkopo kitu cha ajabu kuwahi kutokea yeye akae kimya ndio maana hata tabora wamemtosa kwa porojo zake
 
Huyu jamaa ana kiburi cha kijinga sana. Hapa anaonesha kabisa kwamba wao ndiyo kila kitu katika mpira wa Tanzania
 
Huyu jamaa ana kiburi cha kijinga sana. Hapa anaonesha kabisa kwamba wao ndiyo kila kitu katika mpira wa Tanzania
Sasa kwani uongo? Hebu nitajie makombe yote yaliyopo tz na washindi wake tuanzie hapo
 
Nilichoka niliposoma magazeti ya juzi kuhusu yanga upande wa mochezo.
-YANGA YAPIGA SOKA LA KITABUNI.
-WAARABU WASHANGAZWA NA SOKA LA YANGA.
-FITINA ZAISABABISHIA YANGA KUFUNGWA.
Etc!
Sasa kupamba kote huku inakuaje mtu anakalishwa??
Magazeti yanaua mpira wa bongo kwa kutokusema ukweli.
 
Kibongo bongo ndio tumeishia hapo mtu una game na Mazembe unawaza njia sijui na simba manake hata badala wapange kushinda wanawaza simba
 
Back
Top Bottom