Yanga inyang’anywe point zote kwa kumtumia Kessy - Rage

Timu zikisajili huwa wanapeleka majina TFF. Na TFF wenyewe ndio wanidhinisha acheze ama vipi. Sasa cha kujiuliza TFF jina la Kessy walilipitisha?
Hili swala likienda CAF Tanzania inaweza kufungiwa kwa kosa la kupindisha sheria za CAF na FIFA
 
Afadhali wewe kidogo umeongea Jambo ambalo halijaegemea pande yeyote...

Sasa hao mbumbumbu.... wanataka Yanga watumikie kosa la TFF....
Wanaweza kupokonywa na CAF au FIFA wewe ndio ndezi kabisa
 
Ngassa
Twite
Yondani
Tambwe
Tumewapiga bao la mkono kwote huko, bado unatuita hovyo? Kama Yanga ni hovyo, utaiitaje timu inayokipiga mchangani kwa miaka 4 mfululizo na sasa imeamua kukipiga mezani kwa kuomba points za mwanaume zikatwe?
Jukwaa limevamiwana wanywa viroba
 
Hili swala likienda CAF Tanzania inaweza kufungiwa kwa kosa la kupindisha sheria za CAF na FIFA
Na hapa ndipo ninapopata uthibitisho kuwa TAKUKURU kazi imewashinda walipaswa kuchunguza swala hili kiongozi kupinfisha sheria lazima kunakichomsukuma...
 
Na hapa ndipo ninapopata uthibitisho kuwa TAKUKURU kazi imewashinda walipaswa kuchunguza swala hili kiongozi kupinfisha sheria lazima kunakichomsukuma...

Mpaka sasa kimya! Au wafanyakazi wote wa TAKUKURU nao ni Mashabiki wa Yanga SC....
 
Back
Top Bottom