YANGA inatia aibu

wenyewe watadai wanacheza mpira. hivyo vya mitandao mara facebook, mara official site ni ubishoo mtupu.
kama we unataka wasaidie basi kuweka up to date.
 
wenyewe watadai wanacheza mpira. hivyo vya mitandao mara facebook, mara official site ni ubishoo mtupu. <br />
kama we unataka wasaidie basi kuweka up to date.
Na ukongwe wa klabu yenu hamna hata uwanja kazi yenu longolongo tu.
Karibuni Chamazi, kwetu tulio serious na mpira
 
Unashangaa Yanga ,mbona ikulu hawana website hadi leo
 
Back
Top Bottom