Yanga inahitaji kumfunga zaidi Simba kuliko kuchukua ubingwa

Babumzee

Member
Feb 24, 2020
11
5
Unaweza ukajiuliza kweli haya ndio malengo ya klabu ya Yanga kwa msimu huu licha ya kusajili wachezaji wengi wa kimataifa? Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa point 62 huku Yanga akiwa na point 40 ni gape kubwa lkn kwenye football lolote linaweza kutokea hata wachezaji wa simba sizani kama wanaamini kuwa ubingwa tayri wameshauchukua kwa 100%.

Kocha wa Yanga amekata tamaa, mashabiki wamekata tamaa hata viongozi wamekata tamaa na mbio za kugombea ubingwa wa ligi na sasa wanasema nguvu zote wamehamishia kwenye FA CUP lkn hata uko sio kazi nyepesi pia kwa sababu huyu waliomuachia ligi nae bado yupo uko uko wanakokutaka wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200223_181729.gif
 
Back
Top Bottom