Yanga imeuza haki za matangazo B41 simba wanauza team kwa B20 na mpaka Leo hazijawekwa Moo Hajaeleweka

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar watanzania Leo Baada ya kuona Deal la Yanga na Azam ndio Nimegundua ni kwa kiasi Gan Moo anawaumiza wenye simba yao na Hakika huu ni utapel wa wazi wazi

Yanga imeuza Haki ya Matangazo kwa miaka kumi kwa shilingi B41 ambayo ni Sawa na hisa 89.6 za Simba kwa Mahesabu ya kama B20 ni Sawa na hisa 45 za Moo alizo nunua kwa Mali kauli simba

Moo anapata haki ya Kurusha Matangazo Kwa B20 ambayo hajaweka
Moo amekua mwenyewekit kwa B20 ambayo hajaweka
Moo katimua wazee wote wa simba kaweka ndugu zake kwa B20 ambayo hajaweka hata Mia
Moo kwa B20 atakua mwenyekit kwa maisha yake yote hata akifa Hisa zake watarith Familia yake uku azam B41 kwa miaka 10 tu

Na kama MO atapata hisa 49 kwa Bilio 20 simba ikiingia mkataba na Azam kama wa yanga Moo atahusika kwenye usimamiz

Simba mnaitaji maombi
 
chanzo cha habari mkuu
 
Atapeli asitapeli haituhusu mradi team inasajili na inacheza vizur hapo sawa..sie washabiki tunataka soka safi na matokeo chanya
 
Back
Top Bottom