Yanga imepangwa kundi D katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

Kundi B mmh!.
Nmewaona na Al-Masry hahahahaaaaaaa just utani tu msinitoe jicho wana msimbazi
 
kwani figisu zipo tz tu mkuu?? Kwenye ulimwengu wa mpira kila kona figisu zipo.
Sawasawa. Ila kila figisu ina mhusika wake mkuu, hata kama ni wa kubuni. Sasa kwenye ‘kona’ hii tungeambiwa mhusika mkuu ni nani, ikizingatiwa kuwa Malinzi aliyezoeleka kuhusishwa na mafanikio ya Yanga yuko lupango na hii si TFF.
 
Timu za waarabu katika ubora wao. Huwa nawakubali mno hawa viumbe..hawanaga utani uwanjani. Yanga vichapo vinawahusu :p:p:p
acha uchawi unajuwa Yanga akifanikiwa tutakuwa tunawakirishwa na timu tatu...naomba Simba msije uwanjanihatua za makundi hasira zetu tutawashushia nyie
 
kwani figisu zipo tz tu mkuu?? Kwenye ulimwengu wa mpira kila kona figisu zipo.
Kimsingi na kimantiki, Timu zote zilizofika stage hii ni bora sana. Kwa hiyo tusijipe moyo sana tukasahau kufanya maandalizi ya uhakika. Watanzania wote hebu tushikamane Tuipe support timu yetu uwanjani na nje ya uwanjani. Tukumbuke Yanga ikifanya vizuri Katika mashindano haya, tunaongeza wigo wa ushiriki wa timu zetu kwenye mashindano haya mwaka ujao. N'a tukifanikiwa kwa Hilo, idadi ya timu shiriki kwenye mashindano y'a Caf toka tz itaongezeka. Tuwe pamoja sana.
 
Uko sahihi sisi tunavyoliona hili kundi ni mchekea hata wenzetu wanaona vivyo hivyo cha msingi tujipange
 
Timu zote ni nzuri hakuna kibonde hapo ni maandalizi na mshikamano nje na ndani ya uwanja
 
Back
Top Bottom