GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Matokeo ya Yanga na Zanaco wametoka Sifuri kwa Sifuri au ( 0-0 ) na Yanga imeyaaga mashindano na sasa itashiriki Kombe la Shirikisho kwa mujibu wa habari nyepesi nyepesi.
hahaha, matokeo ni fa fa fa fa faaaaaMatokeo ya Yanga na Zanaco ni bashite bashite yaani Sifuri kwa Sifuri au ( 0-0 ) na Yanga imeyaaga mashindano na sasa itashiriki Kombe la Shirikisho kwa mujibu wa habari nyepesi nyepesi.
Oh jamani ndio imekuwa bashite bashite pole yao yanga
Hizo siyo habari nyepesi nyepesi!Matokeo ya Yanga na Zanaco ni bashite bashite yaani Sifuri kwa Sifuri au ( 0-0 ) na Yanga imeyaaga mashindano na sasa itashiriki Kombe la Shirikisho kwa mujibu wa habari nyepesi nyepesi.
Phuck Yanga,Phuck Arsenal leo ni Lissu tu.
Asante Lissu,lasivyo leo ningekuwa na msiba wa club hizo zangu vipenzi kutoa boko.
Daah sipati picha jinsi haji manara atakavyoongea maneno ya shombo na vijembe
Kifo ni kifo tu! Habari ya Yanga kafa kiume waandishi wa magazeti hatuitaki.
Yanga hamna kosa ambalo tunalijutia kama kumuachisha kazi Hans na kumleta yule mzambia
Wataendelea kupanda ndege kupitia kombe LA shirikisho.....Yanga ndio timu bora Africa Mashariki angalia ranks za CAF...nyambafuHizo siyo habari nyepesi nyepesi!
Ni habari za uhakika...
Wamenyofolewa hivyo wanarudi bwawani kuendelea na maisha ya kutapatapa na ndala zao....