Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Hii inaleta maswali sana. INAONEKANA YANGA TUNA TABIA YA AJABU KWA NINI TUNAPENDA KUTOA AHADI YA KUTEMBEA BILA NGUO? WHY UWEKE MATAKO YAKO WAZI NA SEHEMU YAKO YA KIKE? UNATAKA WATU WAKUFANYE NINI? Sidhani kama ni jambo zuri.


Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom