Yanga huu Ujinga na Upuuzi tuache. Watoto na Wajukuu wetu si watatushangaa?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nmesikitika sana na tabia za kipuuzi na kijinga walizoonesha wanayanga.huu ni ubwege. Manji hataki kuwa mwenyekiti.nyie wanaume mnawezaje lazimisha kuwa ninyi bado mnamtambua na mnalazimisha?

Nyie mna akili kweli?njaa hii njaa gani?nyie ndo nmeona mnasababisha kuwe na wanaume siyo riziki.kweli huu siyo uriziki na utimamu wa kiume. Ni sawa na mwanamke ambaye amepewa talaka anasema yeye haondoki hata iweje...analia na kushika miguu abaki hata awe analala uani. Badala ya kukaa na kujipanga mnamlilia manji?nyie mna akili kweli?

Usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe.
 
Attachments

  • 0a08a7eeda4681df25263650493f154d.mp4
    6.9 MB · Views: 13
Baada ya kuzungumzia yao wao wako busy kuangalia Simba wamefanya nini.Wewe upo uchi lakini badala ya kuchutama kama wafanyavyo waungwana wewe unaanza kuropoka "eti muangalie huyo suti yake haina rangi nzuri"
Ficha uchi wako kwanza kabla ya kuongelea suti za wenzako.
Kalagabaho na ujinga wako.Wakati ni pesa.
 
Hii ni yanga ninayoijua mm au ni yanga nyingine basi kama ni kweli wanayumba sana kwan kiongoz lazima awe manji tu!!???
 
Tatizo Yanga imevamia na wanachama wa kadi za benki.
Uanachama wa Yanga ulikuwa si kitu rahisi. Tuulizeni wahenga wa muji huu.
Sasa huyo Manji wa nini? Yanga ni hela ndefu as an entity kuliko Quality Group au MOETL au Azam combined. Ni kwamba tu inaingiliwa na watu wasiojua kuendesha timu za michezo.
Nikirudi bongo baada ya kustaafu utumwa, lazima niwe angalau kwenye kamati ya utendaji, tujenge timu ya maana.
 
Wakikusikia Kobello hata klabu hutaingia.Kwa walio wengi bila Manji Yanga hamna. Wenzako walipiga magoti kumwomba arudi tena wengine wazee na heshima zao.
 
Wakikusikia Kobello hata klabu hutaingia.Kwa walio wengi bila Manji Yanga hamna. Wenzako walipiga magoti kumwomba arudi tena wengine wazee na heshima zao.
Hawajiamini.
Ukitaka kuthibitisha nguvu na mtaji walionao masikini, angalia makanisa ya wokovu.
 
Daah ila siamini kama hakuna watu wa kuichukua Yanga, nahisi Manji mwenyewe ndo anawatengeneza hao wajinga cos mara nyingi amekuwa akifanya ivyo
 
Kuna mwanamke nilimtomtongoza alinigomea ,siku kaja na rafiki yake mjengoni kakataa kutoka,wacha nile mzigo,ndo akagoma kabisa kutoka ndani siku tatu,akaniambia anaenda kusalimia home anarudi,alipotoka tu mlangoni niliwahi kanisani kutoa zaka.

Yanga acheni kuforce
 
Cjui wanao ongoza Yanga kwa sasa wana mtazamo gani but trust me for sure kama viongozi wanaomaliza muda wao wakihamua yanga iwe bora atutakaa tuzidiwe na simba kamwe labda nawao waamue kubadili mfumo wao wa hisa.
Binafsi naomba kama tunavyo changia timu yetu tena kwa hiali viongizi kwa kupata utaratibu watuambie wanataka kukusanya shilingi ngapi ili Yanga itoke kuwa timu ya wanachama iwe timu ya wanahisa.
Tukisha juwa waweke hisa sokoni ili kila anayeweza kununua hisa za timu anunue kadili ya uwezo wetu kama tunavyo changia kwa sasa, timu itakusanya pesa za kutosha nakufanya mambo yake kitakachopatikana tutagawana ata kama hakipo tutavumilia, mbona watu kibao tumenunua hisa za benki ya walimu lakini azijawai kupanda ata shilingi moja ila Wamekusanya mitaji yetu ila wanaendelea Kupeta tu.
 
"Mtaalamu "sasa ndio umefichua your true colours.
Kumbe ilikuwa majungu tu.Uwezo wa kufanya uchaguzi hamna mpaka msaidiwe na TFF tena kwa lazima.
Nyie saizi yenu kutembeza bakuli kwa msaada wa Azam TV.
Tafuta clip ya mkutano wenu wa matawi usikilize hoja zinazojadiliwa. Ndipo utapata ushahidi.
 
Nmesikitika sana na tabia za kipuuzi na kijinga walizoonesha wanayanga.huu ni ubwege. Manji hataki kuwa mwenyekiti.nyie wanaume mnawezaje lazimisha kuwa ninyi bado mnamtambua na mnalazimisha?

Nyie mna akili kweli?njaa hii njaa gani?nyie ndo nmeona mnasababisha kuwe na wanaume siyo riziki.kweli huu siyo uriziki na utimamu wa kiume. Ni sawa na mwanamke ambaye amepewa talaka anasema yeye haondoki hata iweje...analia na kushika miguu abaki hata awe analala uani. Badala ya kukaa na kujipanga mnamlilia manji?nyie mna akili kweli?

Usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe.

Ukitambua nini maana ya mabadiliko na matumizi ya pesa basi utaelewa kwa nini Yanga wanamtaka Manji sana na pia Simba kwanini walimpigia sana magoti mpk wakatumia viongozi wa kiserikali kumsaidia...
 
Ili mabadiliko yatokee ni lazima club iwe na pesa ili ilete umoja ndani ya club... na sasa club haina pesa pia wanachama hawana imani na viongozi na pia hawawezi kuchangia pesa kwa ajili ya matumizi ya timu pia Hauwezi kupata wadhamini kama timu haipati matokeo na bila pesa hakuna matokeo, ndio maana wanachama wanamlilia sana Manji wanajua utamu wake na umuhimu wake kuwavusha hapa....
 
So akikosekana ndio hamna Yanga?Mawazo muflis sana. Huwezi kuwa tegemezi na kubaki tegemezi na ukawa unaweka matumaini yako kwa mtu mmoja.
Juhudi za:kumrudisha mpaka sasa zimesaidia nini?Ndio uwezo wa kufikiri umeishia hapo?
 
Write your reply...Yaani Yanga wamekuwa kama ombaomba wa mitaa ya Lumumba
 
So akikosekana ndio hamna Yanga?Mawazo muflis sana. Huwezi kuwa tegemezi na kubaki tegemezi na ukawa unaweka matumaini yako kwa mtu mmoja.
Juhudi za:kumrudisha mpaka sasa zimesaidia nini?Ndio uwezo wa kufikiri umeishia hapo?

Hizi Club Sijui Simba sijui Yanga haziwezi kujisimamia zenyewe bila ya kuwa na mtu mmoja ambaye anaweza kutoa pesa ili kuunda mfumo mpya

Ndio maana hawa wanachama wanamlilia Manji na pia wanasimba walimlilia sana Mo
 
tuna tatizo moja sisi watanzania kosa la simba tunapoliongelea tunawahusisha na yanga na la yanga tunawahusisha na simba. MO NI YEYE ALIITAKA SIMBA SIJAWAHI ONA WANASIMBA WAKIMLILIA MO HATA SIKU MOJA. unajisikia vibaya kuisema yanga bila kutaja simba? why? ni kukosa kujiamini. wanasimba kumbuka walikuwa wanabisha sana mo kuchukua team na ndo maana hata mchakato wake umechukua muda na wamekuja kukubaliana kuchukua kwa utaratibu huo wa yeye kuwa na hisa asilimia 49 na wao 51. we huoni walioshinda ni wanasimba?

yanga manji alisema akondishwe kwa miaka 10. hasara wagawane faida ajigawie. sasa hapo huoni kuna tatizo? na ameamua kumwaga manyanga ila wana yanga wanaendelea kulazimisha kuwa yeye ni mwenyekiti wao. huoni ni tatizo ?

  • Thanks
Reactions: Tui
Tatizo Yanga imevamia na wanachama wa kadi za benki.
Uanachama wa Yanga ulikuwa si kitu rahisi. Tuulizeni wahenga wa muji huu.
Sasa huyo Manji wa nini? Yanga ni hela ndefu as an entity kuliko Quality Group au MOETL au Azam combined. Ni kwamba tu inaingiliwa na watu wasiojua kuendesha timu za michezo.
Nikirudi bongo baada ya kustaafu utumwa, lazima niwe angalau kwenye kamati ya utendaji, tujenge timu ya maana.
Mkuu upo ...sahihi ...Yanga waonesha ujinga ulipitiliza ! Manji amekuja juzi Yanga ikiwa hivi ilivyo leo watu wanmlilia mManji...rubbish!
 
tuna tatizo moja sisi watanzania kosa la simba tunapoliongelea tunawahusisha na yanga na la yanga tunawahusisha na simba. MO NI YEYE ALIITAKA SIMBA SIJAWAHI ONA WANASIMBA WAKIMLILIA MO HATA SIKU MOJA. unajisikia vibaya kuisema yanga bila kutaja simba? why? ni kukosa kujiamini. wanasimba kumbuka walikuwa wanabisha sana mo kuchukua team na ndo maana hata mchakato wake umechukua muda na wamekuja kukubaliana kuchukua kwa utaratibu huo wa yeye kuwa na hisa asilimia 49 na wao 51. we huoni walioshinda ni wanasimba?

yanga manji alisema akondishwe kwa miaka 10. hasara wagawane faida ajigawie. sasa hapo huoni kuna tatizo? na ameamua kumwaga manyanga ila wana yanga wanaendelea kulazimisha kuwa yeye ni mwenyekiti wao. huoni ni tatizo ?

Ebu tambueni ni kweli Yanga wanamlilia sana Manji ili awasaidie kuvuka hapa pia kujenga mfumo bora... hizi club ni kongwe lakini hazina kitu zaidi ya mtaji wa watu ambao hawana msaada ndani ya club pia hawajitambui

Ndio maana nasema ni lazima apatikane tajiri mmoja ambae atatumia pesa zake katika kujenga mfumo ilikurudisha imani kwa wanachama bcz kuandaa mfumo wenywe ni pesa sasa wanachama hawaoni mtu mwingine ambae anaweza kukopesha pesa zake ili kusaidia kuijenga Yanga zaidi ya Manji.

Kumbukeni kwa sasa hata kama Club itapata viongozi wote bila ya kuwa na pesa hawezi kusaidia kitu. Club haitaji viongozi wote kawamilike inaitaji pesa ilikufanya mfumo ukamilike...

Ndio maana Unaona Azam ina mtu kwenye pesa then viongozi wanakuja baadaye... Singida ina mtu ambaye anapesa na ushawishi then club inaenda poa somehow...

Simba walimsumbua Mo kwa mlango wa nyuma then akaja na bei yake ya kununua Simba then wanachama bila ku evaluate kawa kubali bcz hawajui thamani ya club yao ingawa walitokea wakina Mzee kilomoni na wengine lakini kwa sababu walipata funzo kutoka kwa Yanga wakawazidi keti na kumpa club Mo na sasa matokeo wanayaona

Huku Yanga walikubali kumpa kwa mkataba Manji wakatokea Watu ambao hawepi maendeleo ya Yanga kawapinga na kuenda mahakamani hao ni wakina Akilimani na wenzie then Tajiri akagoma baada ya kuna pigamizi

Leo akitokea Tajiri anataka kuinunua Yanga na akiwa na pesa utaona wanachama wanamuacha Manji ana kwenda kwa huyo Tajiri bcz wanajua atawasaidia kuibeba. Leo mnataka Viongozi then watu wenyewe wa kuchanguliwa ni wakina Tarimba, Akilimali ambao ambao hawana uwezo wa kutoa pesa kwa ajili ya club. Mfano wakati club inaangaika kumsajili Yondani waliombwa mchango then Tarimba alitoa 2m tuuh lakini kwenye media ajitamba kuwa amemsajili Kelvin .
 
Back
Top Bottom