Yanga hata mechi ya kirafiki mnabebwa?Aibu sana

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano.

Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli?
 
Mimi mwanayanga ila kadi nyekundu imeharibu ladha kiukweli... tungeipotezea tu tuwe sawa sawa tuone ubora wa timu yetu ikicheza na mtu aliyekamilika.. wote tuwe 11 kwa 11

Kadi nyekundu imetolewa kiulaini sana .. angalau ingekuwa rafu kubwa
 
Refa sijui alishindwa vipi kufikiria kuwa ile ni mechi ya burudani tu. Kitendo kile Cha kutolewa mchezaji kwa kadi yekundu kimewastajabisha sana karibu kila mtu haijalishi mwana Yanga au sio mwana yanga. Nimemuona Deusi Kaseke akipigwa na mshangao wa kuhamaki wakati refa akionesha kadi nyekundu.
 
Ndio maana marefa wetu wanazarauliwa.. hata mashindano ya caf huwezi kuona refa kutoka Tanzania anapewa nafasi. Ametuharibia mechi leo
 
IMG-20200830-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom