mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nachukua nafasi hii kutoa mawazo yangu Kwa wahusika wa Klabu ya Yanga Juu ya matukio makubwa ya Klabu hiyo kubwa hapa nchini.Klabu ya Yanga ndio Mabingwa wa soka.Klabu ya Yanga inamiliki Uwanja wa Kaunda uwanja ambao umechakaa Na umebomoka Kwa muda mrefu.Klabu ya Yanga inamiliki Jengo ambalo in Ghorofa Jengo ambako limechakaa hats ukarabati haufanyiki.Najiuliza ubingwa sawa lakini uongozi uliopo kwanini haujiusishi Na ujenzi wa uwanja Na ukarabati wa Jengo? Inatia aibu Kwa klabu bingwa ya Tanzania Bara kuwa Na uwanja Na Jengo la hali hiyo.