Yanga bana,leo yatoa kipigo kingine cha fedheha!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Leo tena yafanya kweli Rwanda baada ya kuichapa police ya Rwanda mabao 2:1
Wafungaji.
Cannavaro na Mwasika.
 
Leo tena yafanya kweli Rwanda baada ya kuichapa police ya Rwanda mabao 2:1
Wafungaji.
Cannavaro na Mwasika.
....kamba washambuliaji wenu wote ni butu,, au siku hizi Mwasika na Cannavaro wamekuwa ma-foward???
 
Daima mbele, nyuma mwiko...wanaoshangaa Nadir na Mwasika kufunga, mbona hamuulizi John Terry na Puyol wanapozifungia timu zao za Chelsea na Barca kila mara
 
Nadir inabidi atafute namba mpya,maana huku beki zina wenyewe sasa!!
 
Leo tena yafanya kweli Rwanda baada ya kuichapa police ya Rwanda mabao 2:1
Wafungaji.
Cannavaro na Mwasika.

Fedheha gani hapo? Itifikia hii?

simba-vs-yanga.jpg
 
Fedheha gani hapo? Itifikia hii?

simba-vs-yanga.jpg

Ahahahaaa, ahahaaaa!! Ahahahaaaaa!! Heheheeheeee! Sina mbavu kwa utoto uliouweka hapo juu.

Embu check hapa chini uone jinsi ambavyo Simba bado ni chekechea tu kwa Yanga Afrika...

Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)

Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)

Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)
 
Ahahahaaa, ahahaaaa!! Ahahahaaaaa!! Heheheeheeee! Sina mbavu kwa utoto uliouweka hapo juu.

Embu check hapa chini uone jinsi ambavyo Simba bado ni chekechea tu kwa Yanga Afrika...

Bado hujajibu hoja.......kufungwa 5-0 na mtani sio fedheha? Hapo sijasema zile 6-0 za 1977
 
5-0 sio fedheha kama aliyekufunga hali yake ilikuwa mbaya karibu kutoana macho, fedheha ni pale timu inapokuwa na mabwabwa bhana!
 
Back
Top Bottom