Freewine
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 257
- 212
Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango.
Wanawachoresha wachezaji wakishawishi watazamaji angalau wawachangie huku wakijinasibu kwamba watukua wanatoa bank statement
Yanga yenye miaka zaidi ya 70 kwenye ligi lakini inasikitisha hadi Leo haina mfumo thabiti wa kujitengenezea mapato pasi kutegemea misaada.
Kwa hicho mnachokifanya kwenye TV, Yanga mnautofauti gani ni timu ndogo zilizochipukia kwa miaka ya hivi karibuni kama Biashara United, Stand United, Abajaro, Green worriors n.k hakika yanga hawana utofauti na hizo timu.
Hivi kweli mnashindwa kuibadili hiyo timu yenu iwe kampuni itakayojiendesha yenyewe kwa mfumo wa hisa? Ambapo mtaruhusu matajiri wakubwa wawekeze kwenye timu yenu kupitia wingi wa hisa.
Nje ya kutegemea gett collection tu mwekezaji hiyo atatumia brand ya yanga kufanya biashara huku mapato yanaingia kwenye clab ya Yanga, mbona yanga INA brand kubwa na mashabiki wengine ukanda huu wa A. Masharaka. Mtaacha lini haya mawazo mugando kwamba lazima clab iongozwe na kumilikiwa na wanachama?
Mfumo uliofel 100% na kuwasababishia aibu kubwa wachezaji wenu kutafuta misaada hadi ya mshahara yao kwa bakuri? Hakika ni aibu kubwa mchezaji Nina kubwa anachezea timu kubwa lakini anategemea mshahara wake aupate kupitia namba za Tigo pesa.
Kwa tangazo hili kuruhusiwa na uongozi wa Yanga, hakika uongozi huu haustahili kuwepo inatakiwa upigwe chini Mara moja licha ya hivyo mashabiki wa Yanga mkiendelea kuwaogopa kuwaambia ukweli daima mtaendelea kuitwa OMBAOMBA FC