Yanga aibu gani hii: Naona imefungua akaunti ya kuomba michango kwa mshabiki

Freewine

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
258
250
Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango.

Wanawachoresha wachezaji wakishawishi watazamaji angalau wawachangie huku wakijinasibu kwamba watukua wanatoa bank statement

Yanga yenye miaka zaidi ya 70 kwenye ligi lakini inasikitisha hadi Leo haina mfumo thabiti wa kujitengenezea mapato pasi kutegemea misaada.
Kwa hicho mnachokifanya kwenye TV, Yanga mnautofauti gani ni timu ndogo zilizochipukia kwa miaka ya hivi karibuni kama Biashara United, Stand United, Abajaro, Green worriors n.k hakika yanga hawana utofauti na hizo timu.

Hivi kweli mnashindwa kuibadili hiyo timu yenu iwe kampuni itakayojiendesha yenyewe kwa mfumo wa hisa? Ambapo mtaruhusu matajiri wakubwa wawekeze kwenye timu yenu kupitia wingi wa hisa.

Nje ya kutegemea gett collection tu mwekezaji hiyo atatumia brand ya yanga kufanya biashara huku mapato yanaingia kwenye clab ya Yanga, mbona yanga INA brand kubwa na mashabiki wengine ukanda huu wa A. Masharaka. Mtaacha lini haya mawazo mugando kwamba lazima clab iongozwe na kumilikiwa na wanachama?

Mfumo uliofel 100% na kuwasababishia aibu kubwa wachezaji wenu kutafuta misaada hadi ya mshahara yao kwa bakuri? Hakika ni aibu kubwa mchezaji Nina kubwa anachezea timu kubwa lakini anategemea mshahara wake aupate kupitia namba za Tigo pesa.

Kwa tangazo hili kuruhusiwa na uongozi wa Yanga, hakika uongozi huu haustahili kuwepo inatakiwa upigwe chini Mara moja licha ya hivyo mashabiki wa Yanga mkiendelea kuwaogopa kuwaambia ukweli daima mtaendelea kuitwa OMBAOMBA FC
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,635
2,000

Umeusema ukweli mchungu mno. Wengi hawataamini watakupinga. Mimi ni simba damu lakn kitu hiki sikipendi kwa yanga maana uwezo wa kuepuka aibu hii wanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
836
1,000
Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango.

Wanawachoresha wachezaji wakishawishi watazamaji angalau wawachangie huku wakijinasibu kwamba watukua wanatoa bank statement

Yanga yenye miaka zaidi ya 70 kwenye ligi lakini inasikitisha hadi Leo haina mfumo thabiti wa kujitengenezea mapato pasi kutegemea misaada.
Kwa hicho mnachokifanya kwenye TV, Yanga mnautofauti gani ni timu ndogo zilizochipukia kwa miaka ya hivi karibuni kama Biashara United, Stand United, Abajaro, Green worriors n.k hakika yanga hawana utofauti na hizo timu.

Hivi kweli mnashindwa kuibadili hiyo timu yenu iwe kampuni itakayojiendesha yenyewe kwa mfumo wa hisa? Ambapo mtaruhusu matajiri wakubwa wawekeze kwenye timu yenu kupitia wingi wa hisa.

Nje ya kutegemea gett collection tu mwekezaji hiyo atatumia brand ya yanga kufanya biashara huku mapato yanaingia kwenye clab ya Yanga, mbona yanga INA brand kubwa na mashabiki wengine ukanda huu wa A. Masharaka. Mtaacha lini haya mawazo mugando kwamba lazima clab iongozwe na kumilikiwa na wanachama?

Mfumo uliofel 100% na kuwasababishia aibu kubwa wachezaji wenu kutafuta misaada hadi ya mshahara yao kwa bakuri? Hakika ni aibu kubwa mchezaji Nina kubwa anachezea timu kubwa lakini anategemea mshahara wake aupate kupitia namba za Tigo pesa.

Kwa tangazo hili kuruhusiwa na uongozi wa Yanga, hakika uongozi huu haustahili kuwepo inatakiwa upigwe chini Mara moja licha ya hivyo mashabiki wa Yanga mkiendelea kuwaogopa kuwaambia ukweli daima mtaendelea kuitwa OMBAOMBA FC
wewe unaona hiyo ni aibu?!?, mbona hujasema hivyo Taifa stars inapounda kamati ya saidia ishinde? Timu ina mashabiki karibu milioni6 kama unatumia akili vizuri huo si mtaji tosha???. Hebu fanya hesabu kidogo tu hawa wakihamasihwa vizuri wakajitokeza hata milioni4tu wakachangia TZS1000 kwa mwezi watakusanya TZS4Bn!!!, wakifika hapo wana haja gani na mwekezaji?!? let them try!!!!.
 
Freewine

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
258
250
Nasikia Mo bado kudeposit 20 B...sirikali wanasubiria akiweka tu wamkamate...pesa ya Simba inatoka mfukoni kwa Mo.. Simba kuna biashara gani..acha wachangiwe kwani si wameomba wapenzi wao,kwani wameomba Watanzania wote..
kwani wana Yanga pekee ndio wanaoangalia omba omba unayooneshwa kwenye TV?
 
Freewine

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
258
250
wewe unaona hiyo ni aibu?!?, mbona hujasema hivyo Taifa stars inapounda kamati ya saidia ishinde? Timu ina mashabiki karibu milioni6 kama unatumia akili vizuri huo si mtaji tosha???. Hebu fanya hesabu kidogo tu hawa wakihamasihwa vizuri wakajitokeza hata milioni4tu wakachangia TZS1000 kwa mwezi watakusanya TZS4Bn!!!, wakifika hapo wana haja gani na mwekezaji?!? let them try!!!!.
endelea kupigia faida kwenye makaratasi design hiyo hakika daima utaona mafanikio
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,338
2,000
ndio maana wanaambiwa wafanye uchaguzi hawataki wachague watu watakaoitoa hapo ilipo wao wanasubiri Manji arudi hizo tarehje walizosema zishapita
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
39,089
2,000
Hatari sana hii yaani pilipili ale mungine na muwasho apate mungine Duuuh!

Kwa kuwa imeonekana ni njia sahihi ya kuweza kuishi kwa hali iliyopo ndani ya Club sioni kama ni tatizo sababu mpaka sasa hakuna mbadala.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom