Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dakika ya ngapi wamekatiwa maji??

vyura watakufa wakikosa maji jamani mjueee!
 
15676077_1397925710249958_5957323506179059543_o.jpg
 
Kupata sare siyo mwisho wa dunia.
Waambie migongo wazi wenzako. Sare tu mnapiga wachezaji,wakifungwa sijui mtawafanya nini?Changeni mlipe mishahara au pigeni magoti jamaa alipe.Kuwapiga kwa kudai haki zao sio ustaarabu.
 
Waambie migongo wazi wenzako. Sare tu mnapiga wachezaji,wakifungwa sijui mtawafanya nini?Changeni mlipe mishahara au pigeni magoti jamaa alipe.Kuwapiga kwa kudai haki zao sio ustaarabu.
mkuu hebu huu ubuyu uweke wazi kidogo niuelewe!

wamempiga nani?? kosa nini??
 
Nasikia Yanga wamekata rufaa. Haiwezekani mfungaji wa African Lyon akaitwa Ludovick na refa akawa na jina hilo hilo Ludovick. Wanadai ni njama za TFF. Tungojee tuone matokeo ya rufaa yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom