Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 276
Inashangaza sana kuona timu kama Yanga inayojianda na mashindano ya kimataifa inaogopa kushiriki mashindan ambayo yatawasaidia kujimaarisha zaidi katika kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa! Shame upon you, dat ya mnaitwa VIZIBO FC AU 5 modern taarabu! Hamjui mpira zaid ya mipasho ya taarabu,
Na siku akiondoka huyo mwnyekit wenu hii timu ikikutana na simba lzm ten mpigwe 5 koz Manji ndo anawapa moyo wachezaji kwa vijieleza vyake hivyo!
Na siku akiondoka huyo mwnyekit wenu hii timu ikikutana na simba lzm ten mpigwe 5 koz Manji ndo anawapa moyo wachezaji kwa vijieleza vyake hivyo!