Yanga 2-1 Biashara United | ASFC | Benjamin Mkapa

Kwenye mpira tuanchozingatia ni usindi au kupoteza, sasa miaka minne hamna cha maana halafu unakuja kutamba eti mpira mzuri??

Mpira mzuri umewapa nini??
Hawanaga malengo hao, mpira mzuri wenyewe wanaojisifia ni dhidi ya akina Ruvu shooting, wakikutana na wakubwa wènzao yanaruka ruka tu.
 
Back
Top Bottom