Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Subiri mtafungwa tu usiwe na shaka!!!Hivi Sasa Ni Mapumziko, Hadi Sasa Bado Kufungana
Macinkus
....Kuwa mkweli unapenda Yanga wafungwe au vipi???Hivi Sasa Ni Mapumziko, Hadi Sasa Bado Kufungana
Macinkus
Dakika ya 66 Yanga 0 Kinywaji cha Tuske 1
Hii mbaya..kuna mkono wa mtu tu ..tutakuwapo Jumapili kushuhudiaNgoma imelala, Yanga nje, atakutana na Mnyama Jumapili mshindi wa 3. Yanga na Simba hawachekani. Baba yao ni mmoja ambaye ni JMK
Yanga 0 Tusker 1