Yanga 0 Tusker 0

Dk ya 89, bado ngoma nzito kwa Yanga japo anashambulia mwaikimba Off side
 
Yanga wamepata Faul kwenye semi circle Nurdin Bakar amekosa
 
Ngoma imelala, Yanga nje, atakutana na Mnyama Jumapili mshindi wa 3. Yanga na Simba hawachekani. Baba yao ni mmoja ambaye ni JMK


Yanga 0 Tusker 1
 
Ngoma imelala, Yanga nje, atakutana na Mnyama Jumapili mshindi wa 3. Yanga na Simba hawachekani. Baba yao ni mmoja ambaye ni JMK


Yanga 0 Tusker 1
Hii mbaya..kuna mkono wa mtu tu ..tutakuwapo Jumapili kushuhudia
 
wale makocha wa nne wazungu wa yanga hawakuwepo nini.........ndio tatizo la kuchukua mzungu ni mzungu hata kama kwao walikuwa mafundi uashi wanajipakazia ukocha..ukiuliza cv zao ugomvi!!!
 
pole wana yanga
mume kafa na ukimwi mke je?
wana yanga juma2 msije kufukuza wachezaji tena kipigo kipo palepale tena cha nguvu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom