Yanayowakuta Simba kwa media iwe onyo kwa teams nyingine za Tanzania huko kimataifa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa:

Msithubutu kufanya vizuri hata kidoogo simba ndani ya miaka 3 kaingia robo fainali mara mbili na sasa ni ya 12 kwa ranks za CAF chuki iliyopo kwenye media inatisha kwa sasa.

Namungo alijitahidi kufika makundi walikiona cha moto vipindi vilikuwa dedicated ku discuss hadi mambo ya chumbani kambini kwao huko Chamanzi.

Kwenu Azam na Biashara utd jitahidi mtolewe mapema msije kuwaudhi waandishi takataka wakaanza kuwawekea vikao kwenye mautopolo yao.

*Wanalia machozi ya mamba redioni wakilalamika kuhusu maendeleo ya soka utadhani kama kweli vile wanaitakia mema nchi.. Imenikumbusha ile nyimbo ya Upendo Nkone ukianza safari wanakupa moyo ukionyesha mafanikio vita vinaanza
 
Nahisi wala humaanishi unachokiongea ila upo katika masumbufu ya mapenzi yako na simba, laiti ungekua yanga wala utakataka wa ao takataka wako usingeuona, kikubwa jiulize tu ni nini kilichokushinda nguvu ndani yako adi ukawachukia ivo ao media, na pia chunguza mambo kiueledi maana lisemwalo lipo na kama halipo laja kwani iko wazi kuwa simba kwa sasa sio shwari hata kidogo kuna shida iko ndani na sote tunaliona hilo wazi kabisa, so msitafute mchawi ni nani angali mnajiloga ninyi wenyewe.
 
NAHISI WALA HUMAANISHI UNACHOKIONGEA ILA UPO KATIKA MASUMBUFU YA MAPENZI YAKO NA SIMBA, LAITI UNGEKUA YANGA WALA UTAKATAKA WA AO TAKATAKA WAKO USINGEUONA, KIKUBWA JIULIZE TU NI NINI KILICHOKUSHINDA NGUVU NDANI YAKO ADI UKAWACHUKIA IVO AO MEDIA, NA PIA CHUNGUZA MAMBO KIUELEDI MAANA LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO LAJA KWANI IKO WAZI KUWA SIMBA KWA SASA SIO SHWARI HATA KIDOGO KUNA SHIDA IKO NDANI NA SOTE TUNALIONA HILO WAZI KABISA, SO MSITAFUTE MCHAWI NI NANI ANGALI MNAJILOGA NINYI WENYEWE.
usitumie neno weledi litoe haraka sana, hayo yaliyobaki yatumie tu maana TAKATAKA UliZOTETEA HAZINA WELEDI HATA PUNJE LABDA WELEDI WA KWENYE MASABURI
 
Mtoa mada ukiendelea na huu upuuzi wako wa kukubali kuishi na msongo wa mawazo, kisa tu timu yako ya simba haisifiwi na kupambwa kama vile unavyo penda wewe! Basi jiandae tu kufa mapema!

Watanzania tuna mambo mengi ya kufikiri na kufanya kwa sasa! Na siyo muda wote kuiwazia timuvyako ya simba, sijui imesajili takataka gani! Au imemuuza kima gani na kwa shilingi ngapi! Hizo mambo hazina maslahi yoyote yale kwa Taifa.
 
TAKATAKA ZINAJAZA INZI KWENY UZI HUU kama siyo takataka basi ni wale walio kwenye "uhusiano tata na takataka tata"
 
Mashabiki wa Taifa Stars tuna comment wapi?
Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa:

Msithubutu kufanya vizuri hata kidoogo simba ndani ya miaka 3 kaingia robo fainali mara mbili na sasa ni ya 12 kwa ranks za CAF chuki iliyopo kwenye media inatisha kwa sasa

Namungo alijitahidi kufika makundi walikiona cha moto vipindi vilikuwa dedicated ku discuss hadi mambo ya chumbani kambini kwao huko Chamanzi

Kwenu Azam na Biashara utd jitahidi mtolewe mapema msije kuwaudhi waandishi takataka wakaanza kuwawekea vikao kwenye mautopolo yao

*Wanalia machozi ya mamba redioni wakilalamika kuhusu maendeleo ya soka utadhani kama kweli vile wanaitakia mema nchi.. Imenikumbusha ile nyimbo ya Upendo Nkone ukianza safari wanakupa moyo ukionyesha mafanikio vita vinaanza
 
Asa apo nimegundua kuwa wewe ni dampo kabisa heri ya takataka tena, maana iweje utake tufanane na wewe mawazo na angali we mwenyewe ata hujiwazii.
ni hatari mno kwa team ya Tz kupata mafanikio wachambuzi TAKATAKA wanaofanywa michezo mibaya ya masaburi huwa hawakubali kabisa unless ni ile team yao chini ya kina nanihii wasambaza bahasha za khaki
namungo hadi waliundiwa zengwe kwamba kazi yao ni kununua malaya kule chamnazi hiyo ni baada ya kufika group stages na kufanikiwa kushika number 60 kwenye ranks za Caf huku utopolo wakiwa #74
 
Yanga Hana haja ya kupambana na Simba kwakua Simba amekua underdog Tangu Ligi Ina anza 1966 kuanzia kumfunga uwanjani mbaka mataji ya ligikuu
Tanzania bara.
Simba wanapambana wenyewe, Kuna watu ambao Wana DNA ya Simba waliobeba tofali kujenga majengo yaklabu uku walicheza mpira pale Simba wamefukuzwa.
Kwasasa timu inamilikiwa na Bwanyenye na chawa wachache. Taarifa za ndani ya Simba zinavujishwa na baadhi ya chawa wapo ndani ya bodi. Yanayo zungumzwa mitandaoni Mengi Yana ukweli Ila waliopo madarakani wanajaribu kuyazima kwa nguvu Ila Kuna muda hawataweza kuzuia ukweli ni swala la muda tu.
 
ni hatari mno kwa team ya Tz kupata mafanikio wachambuzi TAKATAKA wanaofanywa michezo mibaya ya masaburi huwa hawakubali kabisa unless ni ile team yao chini ya kina nanihii wasambaza bahasha za khaki
namungo hadi waliundiwa zengwe kwamba kazi yao ni kununua malaya kule chamnazi hiyo ni baada ya kufika group stages na kufanikiwa kushika number 60 kwenye ranks za Caf huku utopolo wakiwa #74
kufanikiwa kwa team hukutotoka kwa waandishi bali kutatoka ndani ya team yenyewe,

jua tu hata wewe usipokuwa mtu uliefanikiwa ndani yako sahau kufanikishwa na walioko nje,

hatakama waandishi wakikaa kimya haiwezi kuwa tiba ya kinachowala simba, na hata kama wakiongea pia sio reason kwa simba kutoendelea mbele ila jinsi mnavyopanic kwa waandishi inadhiirisha kuwa ndani ya simba tayari mko broked na mmepanic hatar .
 
Mtoa mada ukiendelea na huu upuuzi wako wa kukubali kuishi na msongo wa mawazo, kisa tu timu yako ya simba haisifiwi na kupambwa kama vile unavyo penda wewe! Basi jiandae tu kufa mapema!

Watanzania tuna mambo mengi ya kufikiri na kufanya kwa sasa! Na siyo muda wote kuiwazia timuvyako ya simba, sijui imesajili takataka gani! Au imemuuza kima gani na kwa shilingi ngapi! Hizo mambo hazina maslahi yoyote yale kwa Taifa.
Mbona unateseka,GSM badala ya kuwekeza katika mpira yeye kawekeza katika propaganda kuichafua Simba. Jana FM radio zote zilikuwa na agenda moja tu kuichafua Simba. Ligi ikianza mkimanuliwa mnaanza kuhamisha magoli kupeleka lawama TFF na waamuzi. Nyie demkeni tu na hao vilaza wasiojitambua mahesabu mwisho wa msimu.
FB_IMG_1629179437509.jpg
 
Mbona unateseka,GSM badala ya kuwekeza katika mpira yeye kawekeza katika propaganda kuichafua Simba. Jana FM radio zote zilikuwa na agenda moja tu kuichafua Simba. Ligi ikianza mkimanuliwa mnaanza kuhamisha magoli kupeleka lawama TFF na waamuzi. Nyie demkeni tu na hao vilaza wasiojitambua mahesabu mwisho wa msimu.View attachment 1895214
jipeni moyo kwa kisingizio cha kitenge! ila nawashangaa sana nyie simba, hivi malaria mnaumwa ninyi afu panadol mnamnywesha kitenge, ase mtapona kweli? nyie jidanganyeni ivo ivo ila kuna dalili hamtopona adi tutapowachapa nyingi ndo mtajua ninyi ni wagonjwa na akili zenu zimekataa dawa.
 
Huyu mleta Mara hasipojiangalia mienendo yake atajikuta Milembe au atajininginiza kwa stress alikuwa nayo seriously
 
jipeni moyo kwa kisingizio cha kitenge! ila nawashangaa sana nyie simba, hivi malaria mnaumwa ninyi afu panadol mnamnywesha kitenge, ase mtapona kweli? nyie jidanganyeni ivo ivo ila kuna dalili hamtopona adi tutapowachapa nyingi ndo mtajua ninyi ni wagonjwa na akili zenu zimekataa dawa.
Sisi matokeo tunayotaka ni ya uwanjani nyie wa kwenye mitandao tutakutana mwisho wa msimu.
 
Mtoa mada ukiendelea na huu upuuzi wako wa kukubali kuishi na msongo wa mawazo, kisa tu timu yako ya simba haisifiwi na kupambwa kama vile unavyo penda wewe! Basi jiandae tu kufa mapema!

Watanzania tuna mambo mengi ya kufikiri na kufanya kwa sasa! Na siyo muda wote kuiwazia timuvyako ya simba, sijui imesajili takataka gani! Au imemuuza kima gani na kwa shilingi ngapi! Hizo mambo hazina maslahi yoyote yale kwa Taifa.
Isipokuwa ni vizuri kujadili simba kafukuzwa nani, mo kaweka b20, haji manara, chama&miq, babra haya yakijadiliwa taifa linakuwa halina mambo mengi si ndio? Afu we jamaa umekaa kichawichawi sana sijui wa wapi wewe
 
usitumie neno weledi litoe haraka sana, hayo yaliyobaki yatumie tu maana TAKATAKA UliZOTETEA HAZINA WELEDI HATA PUNJE LABDA WELEDI WA KWENYE MASABURI
Mkuu kumbuka media ni wadau muhimu sana kwenye michezo hasa soka, usiwachukie hivyo.
 
Mkuu kumbuka media ni wadau muhimu sana kwenye michezo hasa soka, usiwachukie hivyo.
Mkuu ila Hawa wamezidi kule upande wa pili hawasemi mabay ila huku tu juzi walisema Mo aondoka wakapotezewa wamekuja na shuzi jingine hakika tumewachoka na kama kunawanakitafuta watakipata..

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nahisi wala humaanishi unachokiongea ila upo katika masumbufu ya mapenzi yako na simba, laiti ungekua yanga wala utakataka wa ao takataka wako usingeuona, kikubwa jiulize tu ni nini kilichokushinda nguvu ndani yako adi ukawachukia ivo ao media, na pia chunguza mambo kiueledi maana lisemwalo lipo na kama halipo laja kwani iko wazi kuwa simba kwa sasa sio shwari hata kidogo kuna shida iko ndani na sote tunaliona hilo wazi kabisa, so msitafute mchawi ni nani angali mnajiloga ninyi wenyewe.

Mkuu una ugomvi na matumizi ya “h” ? adi” “ao”
 
Back
Top Bottom