Yanayotokea Kenya nini sababu

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,832
1,048
Jaman naomba tuyajadili haya yanayotokea kenya kupitia hiki kitu wameleta wazungu tunaita democracy.

Binafsy (myself) naweza kusema kenya ni politically unstable serikali inashindwa kizuia matando yanayoweza pelekea uvunjifu wa amani
Kwa nn kenya inashindwa na tanzania imeweza.

Je wakenya sio waoga wa kufa kama walivyo watanzani au n rais legelege aliye madarakani au kuna nguvu kutoka nje huwapa nguvu hawa tunaowaita wapinzani au ni jeshi la police na jeshi kwa ujumla limechoshwa nA serikali iliyopo madarakani.

Hivi karibuni nchin tanzania kumeibuka swala la kutekwa kukuta viroba vya mait maeneo ya koko beach na mengine mengi hii ni ndani ya Tanzania tukiangazia kenya ni swal la kawaida sana kusikia mtu maarufu katika uwanja wa kisiasa kauwawa tena na viashiria vya wazi vikionyesha ameuwawa hivi jana uhuru alimtuhumu raila wazi kuwa yupo na mpango wa kuu raia ili apate huruma ya kisiasa na kuisingizia serikali mauaji sijajua nguvu ya wapinzan ndani ya kenya imefikia huku kwamba mpaka rais anamuogopa mpinzan kwa wazi kias hiki huku tanzania mtendaji wa kijiji anamkamata mbunge na kumuweka kizuizini mkuu wa wilaya anamuita kiongoz wa kambi ya upinzani kama anamuita mwanawe nini tatizo kwa wakenya
What is a democracy.

Kufutwa matokeo ya uchaguz kwa sababu et kuna fom hazikusainiwa na kuitishwa chaguz mpya raila anajitoa anataka mabadiliko ambayo mahakama haikuyapitisha nini tatizo kwa nn kenya imekua sio sehem nzur kuongoza ikiwa wabunge wa nassa ni wachache kuliko jubelee huyu ofinga anafikir waliopiga kura za ubunge na waliopiga kura za rais n tofaut mbn anakubali hukuhuku anakataa.

Wakuu mpaka sasa sijui nini kipo nyuma ya panzia
 
There are more than 370 election petitions remember.
10 Governors, allied to Jubilee were rigged including Nairobi, Kwale, Kiambu, Meru....
Majority MPs in Northern Kenya allied to Jubilee were forced on them and are not the people's choice.
NRNE.
No Reforms No Elections
 
Tatizo la Kenya na South Sudan, Rwanda, Burundi, yanafanana sana, UKABILA, hapo ndiyo kitovu cha hizi nchi ikifika kipindi cha uchaguzi, Rwanda wanatawaliwa na strong man, hawafurukuti hata kidogo, kwahiyo Rwanda wamepata amani ya muda, Uganda upinzani hauna nguvu sana, ni rahisi kumdhibiti Kizza Bisigye, kidogo kuna utulivu wa kuunga unga, South Sudan upinzani una nguvu kama Kenya, nchi haikaliki, Burundi upinzani hauna nguvu sana. Kenya upinzani una nguvu kama South Sudan, nchi haitakalika hiyo.
 
Maswali unayo ya msingi, ila sidhani utapata majibu ya moja kwa moja.
Rais Uhuru na makamu wake hivi sasa wanalazimika kuwa makini sana kwa kila hatua maana ikumbukwe kesi zao hazikufutwa kabisa kule ICC, The Hague. Wakiteleza kidogo wataburuzwa mara moja na waliponea chupuchupu.

Viongozi wa upinzani hususan Raila wanalijua hili, hivyo wanachokonoa hadi basi wakijua kuthubutu kuwagusa tu, basi moja kwa moja unatonesha vidonda vya ICC. Hivyo hawa akina Uhuru na Ruto ni kama mateka kwa sasa hivi, ni kichekesho tu maana hata wakitoa mikwara, hawawezi kutekeleza.

Wafuasi wa Raila hususan mkoa wa Nyanza huwa na mihemko sio haba, wakijitokeza kuzua fujo yaani polisi watalazimika kuua kabisa maana wale jamaa huwezi kuwakomesha kwa bomu ya machozi tu/tear gas. Kwanza pale wanajibu wito wa Raila wa kuandamana, huwa wanatoka aisei ukiwaona kwenye TV mpaka wanaogofya, sijui Raila kawalisha nini maana wakati huo huwa hawana uwoga wowote.

Tofauti na ilivyo kwa Wakenya wengne kwa mfano kama wale wa Pwani ambao mabomu ya machozi yakipigwa mawili wanatawanyika mara moja kama walivyo Watanzania.

Sasa hapa usitegemee Uhuru atafanya chochote zaidi ya kubwatuka tu akiwa ikulu. Tegemea maandamano hatari tarehe 26 kwenye gatuzi za Nyanza Kusini.
 
Hahaha eti kama walivyo watanzania!watanzania wa wapi waoga hivyo ujue Tanzanian ni nchi ya amani?
 
Aaaah! Wapi...
Nimewahi kuwa Tanzania kipindi cha maandamano, nilikua naangalia dirishani hadi nacheka, yaani polisi wakipiga bomu mbili za machozi wanatoweka wote.
Siku moja tu ndio niliona mkimaanisha kwenye maandamano, ilikua kipindi mtoto fulani alikojolea korani, dah hiyo siku nilikua Dar, niliona mtiti wa Kikenya kwa Watanzania.
 
Hatupotezagi mda kwa mambo ya ajabu
 
Hiyo ni dalili kwamba watanzania hawajazoea fujo, hakuna ufahari wala sifa kwa watu kuuliwa hovyo kama inavyotokea Kenya au South Sudan eti huku kujisifia Kutokuwa na woga, that is in Kenya Se connecter à Facebook | Facebook
 
Aaaah! Wapi...
Nimewahi kuwa Tanzania kipindi cha maandamano, nilikua naangalia dirishani hadi nacheka, yaani polisi wakipiga bomu mbili za machozi wanatoweka wote.
Siku moja tu ndio niliona mkimaanisha kwenye maandamano, ilikua kipindi mtoto fulani alikojolea korani, dah hiyo siku nilikua Dar, niliona mtiti wa Kikenya kwa Watanzania.
Mkuu watanzania siyo waoga....wanawaheshimu sana viongozi wa kidini kuliko viongozi wa vysna vya siasa ndiyo maana maandamano yanakuwa hayana nguvu yakitangazwa....viongozi wengi ndiyo maana wanajaribu kuwa karibu na viongozi wa kidini sana na kufanya lolote kwao wale viongozi wakubwa wa kidini.
Tatizo la kwanza kwa tanzania ni viongozi wa kidini kuwa wanafiki....
 
Hatupotezagi mda kwa mambo ya ajabu

Hehehe hamna bwana, nakumbuka kipindi fulani mkaanzisha vuguvugu linaitwa sijui eti UKUTA, mkapiga makelele sana kwenye mitandao ya kijamii, mizukaa na mihemko hadi nikasema kweli Wabongo watakua wameamua. Siku ilipofikia, JWTZ wakaingia mitaani kusaidia kufanya usafi, kuondoa uchafu kwenye mitaro ya maji taka...hehehe Wabongo kimyaaaa...chalii, yaani nilicheka hadi mbavu zikauma.

Haya mambo yana wenyewe bana, tena msithubutu maana kwanza rais wenu wa leo huwa hajaribiwi, bora kidogo Kikwete alikua anacheka na nyie. Leo hii naskia hata kuhutubia wanaanchi ukiwa mpinzani ni kosa la jinai.

Hawa hapa JWTZ wakifanya usafi siku mlikua mnataka kuingia barabarani.
IMG_5719.JPG
 
Aaaah! Wapi...
Nimewahi kuwa Tanzania kipindi cha maandamano, nilikua naangalia dirishani hadi nacheka, yaani polisi wakipiga bomu mbili za machozi wanatoweka wote.
Siku moja tu ndio niliona mkimaanisha kwenye maandamano, ilikua kipindi mtoto fulani alikojolea korani, dah hiyo siku nilikua Dar, niliona mtiti wa Kikenya kwa Watanzania.

Kwanini makabila mengine yasiandamane, wanaoandama ni Jaluo mostly, ina maana makabila mengine ni waoga, au kama makabila mengine yanaandamana mbona hawapigwi risasi na polisi?, Kenya inatatizo la Ukabila, hicho ndicho kiini cha maandamano yenu, ukitoa Kenya na kwa mbali Uganda na DRC, nchi nyingine ni Ethiopia, kabila la Oromo linapingana na serikali kama Jaluo, maandamano hayaishi na mamia ya watu wanauliwa kama Kenya tu.
 
Hehehe hamna bwana, nakumbuka kipindi fulani mkaanzisha vuguvugu linaitwa sijui eti UKUTA, mkapiga makelele sana kwenye mitandao ya kijamii, mizukaa na mihemko hadi nikasema kweli Wabongo watakua wameamua. Siku ilipofikia, JWTZ wakaingia mitaani kusaidia kufanya usafi, kuondoa uchafu kwenye mitaro ya maji taka...hehehe Wabongo kimyaaaa...chalii, yaani nilicheka hadi mbavu zikauma.

Haya mambo yana wenyewe bana, tena msithubutu maana kwanza rais wenu wa leo huwa hajaribiwi, bora kidogo Kikwete alikua anacheka na nyie. Leo hii naskia hata kuhutubia wanaanchi ukiwa mpinzani ni kosa la jinai.

Hawa hapa JWTZ wakifanya usafi siku mlikua mnataka kuingia barabarani.
IMG_5719.JPG
Hahahaha hata Mimi ilo lilinichekesha sana viongozi wa upinzani walituaminisha kwamba lazima tuandamane mzee wa magogoni akawambia andamaneni hata Leo muone mimi sijaribiwi wakazidi kututia moyo yalipobaki masaa kumi na mbili mwenyekiti akahairisha maandamano kwa kuogopa hahaha ilinichekesha mpaka leo
 
Mahakama ya juu Kenya iltoa hukumu na kuagiza mambo kadhaa kutekelezwa na tume. Hadi sasa ile server iliyoleta utata haijakaguliwa, form 34A na 34B nazo hazijatolewa maelezo nani alizibadili na kwa nini nyingi hazikuwa na security seal, kampuni iliyochapisha makaratasi zilizoleta utata bado imeendelea kupewa tender badala ya kuwajibishwa. Watumishi wa tume waliosababisha sintofahamu hadi uchaguzi kufutwa bado wameendelea kudumu na kuandaa uchaguzi ambao matokeo yake yatabaki vile vile.
Kwa haya, Raila kwa kujiamini anaona hawezi kushiriki uchaguzi na baada ya hapo mahakama itakuja na amri yake nyingine. Tusubiri wakenya wanafuata katiba wala siyo mabomu ya machozi kama wengi wadhaniavyo
 
Jaman naomba tuyajadili haya yanayotokea kenya kupitia hiki kitu wameleta wazungu tunaita democracy.

Binafsy (myself) naweza kusema kenya ni politically unstable serikali inashindwa kizuia matando yanayoweza pelekea uvunjifu wa amani
Kwa nn kenya inashindwa na tanzania imeweza.

Je wakenya sio waoga wa kufa kama walivyo watanzani au n rais legelege aliye madarakani au kuna nguvu kutoka nje huwapa nguvu hawa tunaowaita wapinzani au ni jeshi la police na jeshi kwa ujumla limechoshwa nA serikali iliyopo madarakani.

Hivi karibuni nchin tanzania kumeibuka swala la kutekwa kukuta viroba vya mait maeneo ya koko beach na mengine mengi hii ni ndani ya Tanzania tukiangazia kenya ni swal la kawaida sana kusikia mtu maarufu katika uwanja wa kisiasa kauwawa tena na viashiria vya wazi vikionyesha ameuwawa hivi jana uhuru alimtuhumu raila wazi kuwa yupo na mpango wa kuu raia ili apate huruma ya kisiasa na kuisingizia serikali mauaji sijajua nguvu ya wapinzan ndani ya kenya imefikia huku kwamba mpaka rais anamuogopa mpinzan kwa wazi kias hiki huku tanzania mtendaji wa kijiji anamkamata mbunge na kumuweka kizuizini mkuu wa wilaya anamuita kiongoz wa kambi ya upinzani kama anamuita mwanawe nini tatizo kwa wakenya
What is a democracy.

Kufutwa matokeo ya uchaguz kwa sababu et kuna fom hazikusainiwa na kuitishwa chaguz mpya raila anajitoa anataka mabadiliko ambayo mahakama haikuyapitisha nini tatizo kwa nn kenya imekua sio sehem nzur kuongoza ikiwa wabunge wa nassa ni wachache kuliko jubelee huyu ofinga anafikir waliopiga kura za ubunge na waliopiga kura za rais n tofaut mbn anakubali hukuhuku anakataa.

Wakuu mpaka sasa sijui nini kipo nyuma ya panzia
Hakuna zaidi ya UKABILA.
 
Hahahaha hata Mimi ilo lilinichekesha sana viongozi wa upinzani walituaminisha kwamba lazima tuandamane mzee wa magogoni akawambia andamaneni hata Leo muone mimi sijaribiwi wakazidi kututia moyo yalipobaki masaa kumi na mbili mwenyekiti akahairisha maandamano kwa kuogopa hahaha ilinichekesha mpaka leo
Hao ni wafuasi wa UKAWA ambao ni wachache sio wengi, jibu swali kwanini wakikuyu na Kalenjini hawaandamani au kwa nini hawapigwi risasi? au kwanini hatusikii makabila mengine zaidi ya Jaluo, Kalinjin, na Kikuyu?, au hayo makabila wengine wote ni waoga?, acha kujificha nyuma ya kivuli chako, ukabila ndiyo tatizo, si lingine
 
Mahakama ya juu Kenya iltoa hukumu na kuagiza mambo kadhaa kutekelezwa na tume. Hadi sasa ile server iliyoleta utata haijakaguliwa, form 34A na 34B nazo hazijatolewa maelezo nani alizibadili na kwa nini nyingi hazikuwa na security seal, kampuni iliyochapisha makaratasi zilizoleta utata bado imeendelea kupewa tender badala ya kuwajibishwa. Watumishi wa tume waliosababisha sintofahamu hadi uchaguzi kufutwa bado wameendelea kudumu na kuandaa uchaguzi ambao matokeo yake yatabaki vile vile.
Kwa haya, Raila kwa kujiamini anaona hawezi kushiriki uchaguzi na baada ya hapo mahakama itakuja na amri yake nyingine. Tusubiri wakenya wanafuata katiba wala siyo mabomu ya machozi kama wengi wadhaniavyo
Hiyo ndio demokrasia gani kama hata amri za mahakama hazizingatiwi, that is purerly Banana Republic
 
Maswali unayo ya msingi, ila sidhani utapata majibu ya moja kwa moja.
Rais Uhuru na makamu wake hivi sasa wanalazimika kuwa makini sana kwa kila hatua maana ikumbukwe kesi zao hazikufutwa kabisa kule ICC, The Hague. Wakiteleza kidogo wataburuzwa mara moja na waliponea chupuchupu.

Viongozi wa upinzani hususan Raila wanalijua hili, hivyo wanachokonoa hadi basi wakijua kuthubutu kuwagusa tu, basi moja kwa moja unatonesha vidonda vya ICC. Hivyo hawa akina Uhuru na Ruto ni kama mateka kwa sasa hivi, ni kichekesho tu maana hata wakitoa mikwara, hawawezi kutekeleza.

Wafuasi wa Raila hususan mkoa wa Nyanza huwa na mihemko sio haba, wakijitokeza kuzua fujo yaani polisi watalazimika kuua kabisa maana wale jamaa huwezi kuwakomesha kwa bomu ya machozi tu/tear gas. Kwanza pale wanajibu wito wa Raila wa kuandamana, huwa wanatoka aisei ukiwaona kwenye TV mpaka wanaogofya, sijui Raila kawalisha nini maana wakati huo huwa hawana uwoga wowote.

Tofauti na ilivyo kwa Wakenya wengne kwa mfano kama wale wa Pwani ambao mabomu ya machozi yakipigwa mawili wanatawanyika mara moja kama walivyo Watanzania.

Sasa hapa usitegemee Uhuru atafanya chochote zaidi ya kubwatuka tu akiwa ikulu. Tegemea maandamano hatari tarehe 26 kwenye gatuzi za Nyanza Kusini.

Uhuru Kenya alikuwa na nafasi ya kuiondoa Kenya ICC akapuuzia sasa watamfunga ndo ajue kwamba Muzungu siyo Babake!
 
Hehehe hamna bwana, nakumbuka kipindi fulani mkaanzisha vuguvugu linaitwa sijui eti UKUTA, mkapiga makelele sana kwenye mitandao ya kijamii, mizukaa na mihemko hadi nikasema kweli Wabongo watakua wameamua. Siku ilipofikia, JWTZ wakaingia mitaani kusaidia kufanya usafi, kuondoa uchafu kwenye mitaro ya maji taka...hehehe Wabongo kimyaaaa...chalii, yaani nilicheka hadi mbavu zikauma.

Haya mambo yana wenyewe bana, tena msithubutu maana kwanza rais wenu wa leo huwa hajaribiwi, bora kidogo Kikwete alikua anacheka na nyie. Leo hii naskia hata kuhutubia wanaanchi ukiwa mpinzani ni kosa la jinai.

Hawa hapa JWTZ wakifanya usafi siku mlikua mnataka kuingia barabarani.
IMG_5719.JPG
Sio kweli, kila sept.1 ya kila mwaka,kunafanyika maadhimisho ya JWT,so,it coincide, alafu,kiongozi wa upinzani,alihairisha hayo maandamno.elewa kwamba,Magufuli ndio alikuawa ameingia ikulu,so,upinzani walitaka kutingisha kiberiti waone kama kimejaa njiti au vipi.as Wtz,hatuna sa7bu ya kuandamana kwa sababu hakuna LAANA YA UKABILA, wala UBAGUZI.viongozi wa kisiasa wanajua kwamba, wakiitisha maandamano,watajikuta wenyewe.pia tunaridhika na serikali yetu coz hakuna extreme corruption kma Kenya. Sio kwamba Ss ni waoga.WTZ,hawajajikatia tamaa kma Kenya. TZ kukiwepo na
tatizo,viongozi wote wakiwemo wa dini,hukaa,na kumaliza tatizo.
 
Back
Top Bottom