sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,832
- 1,048
Jaman naomba tuyajadili haya yanayotokea kenya kupitia hiki kitu wameleta wazungu tunaita democracy.
Binafsy (myself) naweza kusema kenya ni politically unstable serikali inashindwa kizuia matando yanayoweza pelekea uvunjifu wa amani
Kwa nn kenya inashindwa na tanzania imeweza.
Je wakenya sio waoga wa kufa kama walivyo watanzani au n rais legelege aliye madarakani au kuna nguvu kutoka nje huwapa nguvu hawa tunaowaita wapinzani au ni jeshi la police na jeshi kwa ujumla limechoshwa nA serikali iliyopo madarakani.
Hivi karibuni nchin tanzania kumeibuka swala la kutekwa kukuta viroba vya mait maeneo ya koko beach na mengine mengi hii ni ndani ya Tanzania tukiangazia kenya ni swal la kawaida sana kusikia mtu maarufu katika uwanja wa kisiasa kauwawa tena na viashiria vya wazi vikionyesha ameuwawa hivi jana uhuru alimtuhumu raila wazi kuwa yupo na mpango wa kuu raia ili apate huruma ya kisiasa na kuisingizia serikali mauaji sijajua nguvu ya wapinzan ndani ya kenya imefikia huku kwamba mpaka rais anamuogopa mpinzan kwa wazi kias hiki huku tanzania mtendaji wa kijiji anamkamata mbunge na kumuweka kizuizini mkuu wa wilaya anamuita kiongoz wa kambi ya upinzani kama anamuita mwanawe nini tatizo kwa wakenya
What is a democracy.
Kufutwa matokeo ya uchaguz kwa sababu et kuna fom hazikusainiwa na kuitishwa chaguz mpya raila anajitoa anataka mabadiliko ambayo mahakama haikuyapitisha nini tatizo kwa nn kenya imekua sio sehem nzur kuongoza ikiwa wabunge wa nassa ni wachache kuliko jubelee huyu ofinga anafikir waliopiga kura za ubunge na waliopiga kura za rais n tofaut mbn anakubali hukuhuku anakataa.
Wakuu mpaka sasa sijui nini kipo nyuma ya panzia