Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

nimepata khabari kwa mkongwe mmoja kasema kua honeymooooon ilikua zamani wakati vijana ni mabikira wote, hivo walikua wanapewa time ya kufurahia maumbile yao.kila mtu akikagua uumbaji wa mungu kwa mwenzie. ila siku hizi ni kauzuuushi tu maana kila kitu huwa kishakaguliwa kabla ya ndoa.
 
JS,
Nasikitika/nafurahia kukufahamisha kwamba nilishaoa muda mrefu!

Lakini, napenda ujue kwamba EXPERIENCE kila mara ni kitu cha kugawana!

Nilivyofanya mimi si alivyofanya Geoff-tofauti!
Kwa kuwa mkweli kabisa, mi sikwenda mahali special kwajili ya h/moon, bali nilinyoosha goti straight kwenda nilipokuwa naishi, nikiwa na Chausiku wangu(sababu ni kwamba hapo mahali nlpokuwa naishi palikuwa pametulia tu kama Ngurdoto) !

Tuliongea na mke wangu yale tuliyoweza katika siku zile mpya, tukapanga ya kupanga, then maisha yakaendelea hadi leo!

Lakini nadhani kwa discussion hii, kuna watu kibao wamejifunza somo hapa au sio?

Mimi mwenyewe najifunza hapa sana tu.
Hapo kwenye red vipi????.....????? Hapajanifurahisha hebu sema neno moja hakuna mkwaju
 
Vp tena BHT?

Umeachwa hoi na nini?

Usiogope, mimi nimespecialize kwenye USHAURI WA BURE, so tuko pamoja..hajambo BUJIBUJI?

mmh biggie mengi tu najaribu ku-digest mengine yananikwama
may be you should give me a glass of water to start with
Bujibuji muulise Pearl bwana unataka kutugombanisha sasa wewe
sie pia twataka kwenda kula fungate ati siku moja tuekipiriensi hizi theory
 
nimejifunza meeeeeengi,mda ukifika ni kufanya kama walivyoshauri usijali,nikimpata tu wa kufika nae kanisani atawasimulia
Jamani senior bachelors, mnataka nini tena, au mbebwe na mbeleko gani?...Hakyanani ningekuwa na vacancy miyeee!

Kwenye kabila langu, mwanamke akikupenda utastukia tu watu wanabwaga mizigo ya kuni nyumbani kwenu, au mnaamka kwenda shambani mnakuta lilishalimwa na mrembo..huh!

Huyo ndo Pearl hapo juu bana...Akili ni Mali, uko wapi?...Usiogope young Broda!
 
hahahaha!!! umenifurahisha kweli.
unajua yale matrekta yalikuwa yanaitwa Kubota??? kuna akina dada/mama wa sehemu flani wanaitwa ma-KUBOTA. ndo kwenu nn?
Wanalima hao, acha kabisa!
 
Mimi mwenyewe najifunza hapa sana tu.
Hapo kwenye red vipi????.....????? Hapajanifurahisha hebu sema neno moja hakuna mkwaju
Je nikisema neno moja tu, ROHO YAKO ITAPONA?

Haya, kutii ni bora kuliko sadaka, neno hilo ni NAFURAHIA, bila mkwaju!
 
I think watu hawataki kusema ya moyoni mwao,mm siko hivyo!I say what I real feel,thats me,Kasemaje Twin?
u are just too smart twin.......
eti PJ anamwambie Akili Kichwani eti .......(ntakuambia baadae)
 
nimepata khabari kwa mkongwe mmoja kasema kua honeymooooon ilikua zamani wakati vijana ni mabikira wote, hivo walikua wanapewa time ya kufurahia maumbile yao.kila mtu akikagua uumbaji wa mungu kwa mwenzie. ila siku hizi ni kauzuuushi tu maana kila kitu huwa kishakaguliwa kabla ya ndoa.

Mkuu hili ndo lilikuwa maana halisia ya hicho kilichokuwa kinaitwa Fungate.siku hizi ni zilipendwa na kutumia hela vibaya.Sioni haja ya kuwa na fungate/honeymoon/mwezi wa asali kwa kitu ulishakimega siku nyingi na huenda umekikuta kilishamegwa sana.na umeona wamekukimbia hata senks hawajakupa.

Nimefurahishwa na Pearl yeye anasema atakayempeleka kanisani ndo atakuja kutuhadithia.Tunashuku Pearl kama bado huja megwa lakini kama ulishamegwa usilete unafiki tuwe wakweli na mungu aliyetuumba atatuongoza.
 
hahahaha!!! umenifurahisha kweli.
unajua yale matrekta yalikuwa yanaitwa Kubota??? kuna akina dada/mama wa sehemu flani wanaitwa ma-KUBOTA. ndo kwenu nn?
Wanalima hao, acha kabisa!
Hapana, kwetu hawaitwi hivyo na zile Kubota hazikufika kwetu!
Lakini kimsingi ni kwamba kuna wazee kibao kwetu ambao walioa kwa nia ya kupata MLIMAJI, na si kwa UPENDO!
 
nimepata khabari kwa mkongwe mmoja kasema kua honeymooooon ilikua zamani wakati vijana ni mabikira wote, hivo walikua wanapewa time ya kufurahia maumbile yao.kila mtu akikagua uumbaji wa mungu kwa mwenzie. ila siku hizi ni kauzuuushi tu maana kila kitu huwa kishakaguliwa kabla ya ndoa.

mmmmh!!
chaste life befor and after marriage ni msamiati uliofutika kwenye kamusi huo (wachache wanaishi maisha ya usafi na ubikira kabla na baada ya ndoa)
 
Mkuu hili ndo lilikuwa maana halisia ya hicho kilichokuwa kinaitwa Fungate.siku hizi ni zilipendwa na kutumia hela vibaya.Sioni haja ya kuwa na fungate/honeymoon/mwezi wa asali kwa kitu ulishakimega siku nyingi na huenda umekikuta kilishamegwa sana.na umeona wamekukimbia hata senks hawajakupa.

Nimefurahishwa na Pearl yeye anasema atakayempeleka kanisani ndo atakuja kutuhadithia.Tunashuku Pearl kama bado huja megwa lakini kama ulishamegwa usilete unafiki tuwe wakweli na mungu aliyetuumba atatuongoza.
Jesus!

Haya sasa!

Mazee, tusianze kushikiana mapanga kama wale wa 'nkoa' wa MARA.

Kimsingi, mimi ningelikuwa mwanamke, Janadume lenye Longolongo halipati kitu kwangu hakyanani!...Kipimo cha upendo ni kwenda kwa wazazi na hatimaye kanisani...basi!
 
ah ah ah ok ni mcha Mungu?atanipenda mm na familia yangu?mwambie amlete basi umaskini usiwe ndani ya mifuko yake tafadhali

hahaaaa sisi wajasiriamali atii, aje amejiandaa

anampenda Mungu ila siku zile unakumbuka alivokuwa mchokozi??
siku hizi he is a changed man kabisaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom