Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

Ndo hapo binamu kitu kipo chini ya kapeti lakini mabinti wa siku hizi si mnaonjwa kwanza kabla ya harusi au?
Sitaweza sema walionjana au la lakini kama walishado kabla ya ndoa kilichopelekea kila mtu kurudi kivyake ni nini na kama walikuwa bado kuonjana ndio kabisa we will never know what went wrong.
 
Sitaweza sema walionjana au la lakini kama walishado kabla ya ndoa kilichopelekea kila mtu kurudi kivyake ni nini na kama walikuwa bado kuonjana ndio kabisa we will never know what went wrong.

Unakubaliana na hili eti wadau wanasema Pre-testing ni muhimu sana.
 
binamu uliza mtu yeyote aliyeoa/olewa akuambia kama walisha wahi kutestiana hakuna atakae kubali point ni kwamba wanapractise very secretly yale mambo yetu.
 
bado sijaolewa but pia nimeskia kwa waliioolewa na kuowa kwamba huo ndio wakati mzuri wakutafuta watoto maana wanakuwa akili zimetulia pia,pia ndio wakati wa kupanda maisha yao mapya na hasa kuenjoi tendo takatifu maana mwanzo walikuwa wanajiiba tu,mtazamo wangu tu.
Naleta barua ya posa ili nasisi tukakae mwezi tukitafuta watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alienda honey money wk moja...na katika wk yote hyo alishindwa kumkojolesha mkewe...nasema hvyo baada ya shemej kuniambia mwenyewe so nilichokifanya nikamsaidia shemej kukojoa...Na naendelea kumsaidia jamaa yangu maana matatizo ni kusaidiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alienda honey money wk moja...na katika wk yote hyo alishindwa kumkojolesha mkewe...nasema hvyo baada ya shemej kuniambia mwenyewe so nilichokifanya nikamsaidia shemej kukojoa...Na naendelea kumsaidia jamaa yangu maana matatizo ni kusaidiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatembea na Ky?uje utuhadithie pia siku mumewe akikukojolesha na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honey Moon wengine wanasema wanatafuta mtoto maana utasikia eeh jamaa akitoka huko kama mimba haijacam baaasi tena
Wengine wanadai mnakaa na kuwa peke yenu kwa muda mjuane vizuri kiundani..
Mie nadhani ni mapumziko ambayo Bibi na Bwana wanatakiwa wayapate bila bugudha yoyote ni kipindi ambacho wife /husband kama wanafanya kazi watapumzika kwa muda na kupanga maisha yao ya baadae ,kero na karaha zote wanaepukana nazo wanahitaji watoto wangapi ,wafanye nini ili kuboresha ndoa yao na kupeana mikakati halisi ya ndoa yao kabla ya kurudi home na kuanza rasmi maisha ya ndoa mme/mke
kupika na kupakua .
Nitaendelea
Sound good
 
Najiuliza swali hili!

Kuna couples zingine hukaa honeymoon kwa wiki 1 hadi 2!

Na katika kipindi hicho nimeshuhudia watu, hadi wachungaji/mapadri wakikataza mtu yeyote kwenda kuatembelea couple husika, kwa hofu ya kuwasumbua!

Ni mambo gani hasa yafanyike na kuongelewa kule honeymoon, ukiachilia mbali kuonyeshana upendo kwa ukaribu??...two weeks!! mmmh!!

Kimsingi, nadhni kuna mambo makuu kadha ambayo mnatakiwa myajadili mkiwa huko. Lakini hii itategemea sana kama mlijuana kwa kipindi gani nyuma, kabla ya kuoana!..

Lakini je, hujawahi kusikia ndoa zinazovunjikia kwenye vyumba vya honeymoon?..Je unadhani couple hizi huwa wamesemezana nini hadi kuchukua maamuzi hayo?

Kuna jamaangu alinambia, namnukuu.."tukiwa honeymoon ndo nitamfahamisha rasmi kwamba nina mtoto wa nje"..!
Mwingine akasema.."wakati huo(honeymoon) ndo nitamjulisha kuhusu madeni niliyokopa ili kufanikisha kumuoa"..huh!


Je huenda mambo hayo ndo moja ya yale muhimu ya kusemezana wakati huu muhimu?...michango yenu tafadhali!
Usi tuchoshe na wewe enda fungate ukajionee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom