Yanayokuboa kuhusu Bongo ni yepi?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nafikiria niende Bongo Summer time lakini nimeambiwa kuwa December is the best time sasa kila ninapofikiria mambo haya basi n=huwa nachoka mwenyewe

je wewe yepi yanayokuboa kuhusu Bongo?

WANASIASA NA VYETI VYAO FEKI


ca31-1.jpgSTOCK MARKET ISIYO NA COMPUTER


ca20-1.jpg


KWENDA KUCHUKUA BARUA POSTA WAKATI NISHAZOEA ROYAL MAIL WANANILETEA BARUA NYUMBANI

posta-1.jpgVYOOVYETU VILIVYOJAA BIMBILI ZA MAVI

uanicopy.jpg
 
Mkimbia kwao huitwa mkimbizi na mdharau kwa hutiwa utumwani. Ukitaka kujua uzuri wa Bongo kumbuka marafiki zako uliocheza nao chandimu au kupikapika, siku za sikukuu kutembelea beach, kula nao lamba lamba, karanga za majambo, wali wa nazi, mtori, ndizi mshale, matoke, ugali na maziwa ya mgando, marafiki zako uliokuwa ukichunga nao ng'ombe na huko machungani kunyonya maziwa ya ng'ombe mnaposikia kiu, pilau siku ya iddi au krismas, nyama choma kwa JF, bia za safari, kilimanjaro na serengeti. Sahau habari za kwenda posta, siku hizi watu wanatumiana sms na e-mails. Kama kuna document muhimu EMS wanakuletea nyumbani kwako. Kila kwenye mjumuiko kuna vyoo vya kulipia kuanzia feri,posta ya zamani, mwenge hadi ubungo mwisho.

Wanasiasa wenye kugushi na kununua vyeti wasubiri wakati wa kampeni, kama anasema ana digrii ya uhandisi akipita anga zao mtwangwe swali la kihandisi. Kisha muulize chuo alichosoma na walimu wake mbele ya kadamsi.

Bado tu bongo si mahala pazuri kwako?
 
Nafikiria niende Bongo Summer time lakini nimeambiwa kuwa December is the best time sasa kila ninapofikiria mambo haya basi n=huwa nachoka mwenyewe

je wewe yepi yanayokuboa kuhusu Bongo?

VYOOVYETU VILIVYOJAA BIMBILI ZA MAVI

uanicopy.jpg

Hivi wewe kukaa kote nje hata choo kwenu hujawatengezea, aibu brazameni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom