Yanayojiri ubungo ni janga linalotarajiwa kwa kishindo! Mnyika soma hii

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Ubungo kati ya sehemu zenye mzunguko mkubwa masaa yote, nashangaa sana kuona mambo ya ajabu na nina uhakika viongozi waandamizi wa nchi wameishaona kinachoendela na madhara yake siku za usoni.

KUNA TABIA AMBAYO PETTY TRADERS (WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO) WAMEKUWA WAKIUNGANISHA NYAYA ZA UMEME NA KUWAUNGANISHIA WATU ILI WAPATE MWANGA WAKATI WA USIKU ILI WAUZE BIDHAA ZAO, NA HUKU WATU WAKIPITA HUKU NA KULE HALI WANAKANYAGA HIZO NYAYA ZINGINE ZIPO ZINANINGINIA JAMANI TUPO KWELI KAZINI? SIJUI WANAUPATA WAPI (SOURCE).

UNAWASHWA KUTOKA CHINI KARIBU NA DARAJA OPPOSITE NA LANDMARK HADI JUU UBUNGO MATAA NA KUKATA KONA HADI NJIA YA KUINGILIA KITUONI. NINA UHAKIKA WANAOUNGA SI WATAALAMU WA MAMBO YA UMEME NA CHA KUSIKITISHA ZAID NI KWAMBA MCHEZO UNAOCHEZWA NI KARIBU YA GRID YA TAIFA.

NGAMBO KUNA MITAMBO YA SONGAS NA NGAMBO NYINGINE KUNA MITAMBO YA UMEME, HIVI HAWA PAMOJA NA SHIDA ZETU WATANZANIA KINACHOFANYIKA NI SAWA AU TUNASUBIRI YALIYOJILI MV SPICE NA BUKOBA?

MNYIKA PLEASE JIMBO LAKO HILI EBU FANYA UTAFITI!

NAWASILISHA!
 
Mpwa mwanzoni na mimi nilihisi kumbe wanatumia generator ni mradi wa mtu!
 
hata mimi nilidhani hivyo ila wanatumia umeme brother! siwezibisha labda wapo wanaotumia generator lakini jamaa wanatumia umeme hadi jana mi nimepitapale brother nyaya tu ndo zinaonekana toka kwenye nyumba za watu, UUNGANISHWAJI WAKE HAUJAKIDHI HATA LEVEL MOJA YA KIWANGO CHA KUUNGANISHA UMEME! TUANGALIE SANA JUU YA HILI JAMBO!
 
Ukweli ni kwamba wale jamaa wanatumia jenereta na hizo jenereta nyingi kati ya hizo wameziungia pale maeneo ya stand ya daladala ndo wakaanza kusambazia nyaya kuanzia hapo so sio umeme wakawaida kama unavyodhani weye !!
 
A very useful tip. Tusisubiri janga kubwa ndiyo hatua zichukuliwe na hili hata polisi wanaweza kulivalia njuga na likaisha kwa kushirikiana na Tanesco.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom