cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,867
kweli mkuu huu ni ufalme uliofitika from within!Utawala uliofitinika
kweli mkuu huu ni ufalme uliofitika from within!Utawala uliofitinika
Hakuna kitu kigumu kama kufanya kazi na bob! Yale maamuzi hayakupaswa kubatilishwa hata kidogo, ni njia bora kabisa ya kuwapa confidence walioko chini yakoFM Radio zote za jijini Mwanza sasa hivi ni mjadala wa maamuzi ya Rais na zinawekwa Clip za matamko ya Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya Nyamagana na Mkurugenzi (CD) wa jiji kuhusu suala la wamachinga waliyotoa siku zilizopita kuhusu suala hilo na kuonekana kuwa walikuwa tofauti kabisa na hiki alichosema Rais.
Hata mbunge wa Nyamagana alipohojiwa amepata nafasi ya kuwaruka kabisa viongozi hao kiasi cha kuonyesha maamuzi yao yalikuwa yao pekee kwa nia ya kukomoa Wamachinga na mama ntilie.
Hii ni fedheha kubwa sana kwa wateule hao wa kisiasa na kiutendaji na wanakosa kabisa sifa ya kuendelea kuwaongoza watu wa Mwanza kwa siku zijazo kwani hawawezi tena kuwa na maamuzi ambayo yatakuwa yamesimama bila kudharauliwa.
Je, wataamua wenyewe kujiuzulu ili kulinda heshima zao au watataka waendelee kufanya kazi kama picha tuu? Maana kila anayehojiwa mtaani anawaponda na kuwadharau kuwa kazi imewashinda ndio maana aliyewateua kaamua kuifanya mwenyewe.
HATOWEZA KUWAONDOA kati ya vitu ambavyo.wanaogopa ni ASKALI yaani unapotaja neno askar mbele yao...yupo tayari kukuhonga ata nch... ndo maana ajira nyingi kipaumbele ni haohao...watumishi hewa kote wametafutwa ila makambini thubutu....kwahiyo maRC,DC na wengine msihofu mmepona........Waiter ZUNGUSHAAAAAAAA.....
Ni kweli mkuu kiafrika ni ngumu ila kwenye uandishi wako neno confidence sins hakika kama umelitumia panapostahili I stand to be correctedSidhani kama kwa desturi ya Africa na wabongo kama kuna mwenye ujasiri wa kusutwa na nafsi akaamua kustep down bali wote wanasali tu wasitumbuliwe na mkuu wao.
Lakini kwa hili walipaswa kushuka chini na kuachia ngazi zao maana bosi ameshapoteza kabisa confidence nao.
Nikimwangalia RC huyu ambaye siku ile anamwambia Meneja wa Sumatra mbele ya TV kuwa " unapokea mshahara unakula na mkeo na mnapendeza lakini ujue mimi ndio Kidume hapa Mkoani, hanichezei mtu ......." Halafu leo na ukidume wake akipita kwenye kundi la machinga ni misonyo ya hapa na pale na kuzomewa kwa chati.Hakuna kitu kigumu kama kufanya kazi na bob! Yale maamuzi hayakupaswa kubatilishwa hata kidogo, ni njia bora kabisa ya kuwapa confidence walioko chini yako
Hakuna kitu kigumu kama kufanya kazi na bob! Yale maamuzi hayakupaswa kubatilishwa hata kidogo, ni njia bora kabisa ya kuwapa confidence walioko chini yako
Nikimwangalia RC huyu ambaye siku ile anamwambia Meneja wa Sumatra mbele ya TV kuwa " unapokea mshahara unakula na mkeo na mnapendeza lakini ujue mimi ndio Kidume hapa Mkoani, hanichezei mtu ......." Halafu leo na ukidume wake akipita kwenye kundi la machinga ni misonyo ya hapa na pale na kuzomewa kwa chati.
City directorCD stand for what?
Kwa katiba yetu kwa kweli ni ngumu kuendelea.FM Radio zote za jijini Mwanza sasa hivi ni mjadala wa maamuzi ya Rais na zinawekwa Clip za matamko ya Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya Nyamagana na Mkurugenzi (CD) wa jiji kuhusu suala la wamachinga waliyotoa siku zilizopita kuhusu suala hilo na kuonekana kuwa walikuwa tofauti kabisa na hiki alichosema Rais.
Hata mbunge wa Nyamagana alipohojiwa amepata nafasi ya kuwaruka kabisa viongozi hao kiasi cha kuonyesha maamuzi yao yalikuwa yao pekee kwa nia ya kukomoa Wamachinga na mama ntilie.
Hii ni fedheha kubwa sana kwa wateule hao wa kisiasa na kiutendaji na wanakosa kabisa sifa ya kuendelea kuwaongoza watu wa Mwanza kwa siku zijazo kwani hawawezi tena kuwa na maamuzi ambayo yatakuwa yamesimama bila kudharauliwa.
Je, wataamua wenyewe kujiuzulu ili kulinda heshima zao au watataka waendelee kufanya kazi kama picha tuu? Maana kila anayehojiwa mtaani anawaponda na kuwadharau kuwa kazi imewashinda ndio maana aliyewateua kaamua kuifanya mwenyewe.
Waamue wenyewe kujiuzulu? Thubutu......Hawawezi kufanya hicho kitu. Hawatajaribu.FM Radio zote za jijini Mwanza sasa hivi ni mjadala wa maamuzi ya Rais na zinawekwa Clip za matamko ya Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya Nyamagana na Mkurugenzi (CD) wa jiji kuhusu suala la wamachinga waliyotoa siku zilizopita kuhusu suala hilo na kuonekana kuwa walikuwa tofauti kabisa na hiki alichosema Rais.
Hata mbunge wa Nyamagana alipohojiwa amepata nafasi ya kuwaruka kabisa viongozi hao kiasi cha kuonyesha maamuzi yao yalikuwa yao pekee kwa nia ya kukomoa Wamachinga na mama ntilie.
Hii ni fedheha kubwa sana kwa wateule hao wa kisiasa na kiutendaji na wanakosa kabisa sifa ya kuendelea kuwaongoza watu wa Mwanza kwa siku zijazo kwani hawawezi tena kuwa na maamuzi ambayo yatakuwa yamesimama bila kudharauliwa.
Je, wataamua wenyewe kujiuzulu ili kulinda heshima zao au watataka waendelee kufanya kazi kama picha tuu? Maana kila anayehojiwa mtaani anawaponda na kuwadharau kuwa kazi imewashinda ndio maana aliyewateua kaamua kuifanya mwenyewe.
Kama watu watakuwa wanajiuzulu kwa dignity hakuna ataebaki maana wengi wanashindwa kujua what is right and what is wrong, wabebaki kama watu wanaetembea kwenye kiza.kama mtu ana dignity ya ukweli hapo ni kujiuzulu tu, ni kama yule mke wa Lukuvi alipoachia ngazi baada ya kusimangwa hadharai ila hawa hawana kazi nyingine sijui
Mkuu umesema jambo ambalo ni la msingi sana. Usafi wa majiji na miji yetu uko chini ya Local Govt hivyo unasimamiwa maamuzi na utekelezaji na Halmashauri zenyewe chini ya Baraza la madiwani.Kwa katiba yetu kwa kweli ni ngumu kuendelea.
Kwa nchi nyingine mfano South Africa, Rais hawezi kuingilia wala hana nguvu ya kubadilisha maamuzi ya Regional level.Hapa inaelekea Rais amefanya maamuzi kwa maslahi ya kisiasa tu.
Kama Local governments hazitapewa nguvu ya kujipangia na kufanya mipango yao ya maendeleo bila maelekezo toka serikali kuu, narudia tena maendeleo ni ndoto Tanzania!!