Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu (CHADEMA) na Mkutano Mkubwa wa hadhara Musoma Mjini

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Ni zamu ya Musoma leo.

Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.

Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.

Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini ameapa kufuta Mara moja sheria Haramu iliyowekwa ya kupunguza Mafao ya wastaafu na kurudisha Mara moja Fao la Kujitoa.Serikali ya CCM ilipitishwa Sheria ya kikandamizaji kwamba mtu akiacha kazi ya kuajiriwa hata Kama ana miaka 30 sharti asubiri afikishe miaka 60 ndiyo apate haki yake ya Mafao.Shetia hiyo imelaaniwa na kila mpenda haki lakini serikali ya CCM imeweka Pamba masikioni.

Kwa tathmini iliyo wazi mpaka Sasa Lissu ana uwezekano wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60% Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi

Tutawaletea yatakayojiri

Yaliyojiri Mkutanoni

Kama ilivyotarajiwa Lissu amepata mapokezi makubwa sana mjini Musoma na kwa Hakika kwa Mara nyingine Rekodi ya Tanzania imevunjwa kwa mapokezi.

Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa Musoma Lissu aliyataka Majeshi yote kusimama upande wa Wananchi kulinda maamuzi yao na kamwe wasinyooshe silaha zao dhidi ya Rais kwa lengo la kulinda watu watakaotaka kuhujumu uchaguzi huu.

Tundu Lissu amedai kupata habari kwamba Rais Magufuli amewaita wasimamizi wote wa Uchaguzi wa wilaya zote Tanzania, Jijini Dodoma, Sasa Taarifa zimfikie uchaguzi huu hatutakubali uwaribiwe na hawa wasiokuwa na sifa tena.. Mahakama ya Kimataifa inawasubiria watu

IMG-20200925-WA0122.jpg
IMG-20200926-WA0048.jpg
IMG-20200926-WA0049.jpg
IMG-20200926-WA0050.jpg
IMG-20200926-WA0051.jpg
IMG-20200926-WA0052.jpg
 

Attachments

  • VID-20200926-WA0029.mp4
    9.5 MB
  • VID-20200926-WA0031.mp4
    2.8 MB
  • VID-20200926-WA0032.mp4
    7.7 MB
  • VID-20200926-WA0021.mp4
    10.6 MB
Ni zamu ya Musoma leo.

Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.

Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.

Tutawaletea yatakayojiri
Ha ha ha, Ila 'Molemo' umeimprove sana, utoaji wako taarifa umetukuka,

Upo on time, vijimisemo vya kuwakera CCM nk
Ubarikiwe,

#NiYeyE2020.
 
Mataga chip zinawabana kitu kinagonga. Mbeba Maono katumia siku Kama ishirini hivi tuu kuchana chana ushenzi wa miaka 5 na Mataga wamepoteana.
 
Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye

Kwani aliyekwambia wana Mara ni watu wanafiki nani?.Nyerere hakuwa Mungu,alikuwa na yote,mabaya na mazuri.Acha kutuaminisha ujinga.Yaani hata asingekuwepo Nyerere bado Tanzania ingepata uhuru Ilikuwa ni suala la muda tuu.Sababu hakuna mpaka sasa nchi yoyote ya Africa ambayo haiko huru.

Tena huenda aliwahisha uhuru,ndiyo sababu nchi yetu imechelwa kupata maendeleo.sababu historia inonyesha nchi zilizochelewa kupata uhuru ziko mbali kimaendeleo.ni kama walivyotaifisha,viwanda hapa bongo vikafa,mashamba kule zimbabwe halafu wakashindwa kuendesha
 
Ni zamu ya Musoma leo.

Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.

Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.

Tutawaletea yatakayojiriView attachment 1581133

Jamani huku mgonjwa wa moyo tumirija twake alitopandikizwa tunataka kuchomoka, haamini ni kwa jinsi gani hakubaliki.
 
Leo ni Siku ya sabato Musoma wengi ni wasabato hawataenda mkutanoni na watamyima kura kwa kutoheshimu sabato
 
Kwani aliyekwambia wana Mara ni watu wanafiki nani?.Nyerere hakuwa Mungu,alikuwa na yote,mabaya na mazuri.Acha kutuaminisha ujinga.Yaani hata asingekuwepo Nyerere bado Tanzania ingepata uhuru Ilikuwa ni suala la muda tuu.Sababu hakuna mpaka sasa nchi yoyote ya Africa ambayo haiko huru.Tena huenda aliwahisha uhuru,ndiyo sababu nchi yetu imechelwa kupata maendeleo.sababu historia inonyesha nchi zilizochelewa kupata uhuru ziko mbali kimaendeleo.ni kama walivyotaifisha,viwanda hapa bongo vikafa,mashamba kule zimbabwe halafu wakashindwa kuendesha
Tanzania 🇹🇿 hatuko huru.
Ukitoa mawazo yako unaitwa mchochezi.
Hatuna uhuru wa kuandamana
Hatuna uhuru wa kuishi, Watu wasuojulikana wanaua wakosoaji wote wa serikali.
Tuko gizani
 
Basi maandalizi hapa ni ya hatari, watu ni wengi ajabu, hakuna wasanii, hakuna malori, mabasi ya kuwaleta watu wa kumsikiliza, hakuna elfu tano tano za kuwalipa wahudhuriaji.

Yani watu wanakuja kwa upendo wao binafsi kwa TAL
Nyienyie ngoja muambiwe picha niza mwaka jana.maana uchaguzi huu spana zimezidi nyoka wanatoka pangoni,je nazile spana za manunuzi ya ndege Za Marandu mmezisikia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom