Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

Yaani upande wa Jamhuri mi wajinga sana... wamefunga ushahidi bila kuonyesha pasipo mashaka yoyote kuwa "kulikuwa na njama ya kupanga matukio ya ugaidi", nilitegemea kuona Jamhuri wanamleta huyo ...
Msiri wa kingai nahisi atakuwa Sabaya maana lengo la Sabaya ilikuwa kumpoteza mbowe muda Sana kumbe asijue mungu anamderee tu
 
Yaani upande wa Jamhuri mi wajinga sana... wamefunga ushahidi bila kuonyesha pasipo mashaka yoyote kuwa "kulikuwa na njama ya kupanga matukio ya ugaidi", nilitegemea kuona Jamhuri wanamleta huyo...
Na unajua Kuna kitu nahisi maana juhudi zooote hizo kuingiza makomando ni mbowe anatafutwa sasa napata hisia huenda sabaya amefungwa kwa maksudi ili mbowe afungwe then wakutane jela atekeleze adhima yake ya kumuua wakiwa jela Kama wafungwa baadae sabaya atolewe kwa msamaha wa rais wakati huo mbowe ni marehemu hizo ni hisia zangu
 
Kwanini wasimuue tu hadharani mpaka wazunguke pote huko. Mimi nadhani Mbowe ametumika na serikali Kama scapegoat ya kuonesha kwamba Tanzania tunapambana na ugaidi, ili tuaminiwe na mataifa ya nje na kupewa msaada. Ilihali kosa sio ugaidi Bali ni aidha kupanga kujeruhi au kusababisha uvunjifu was amani.
 
Hilo hapana mbowe hawezi panga na serikali maana serikali haimuongopi mbowe ila washauri na wafuasi wa serikali wanamuogopa kwa misimamo yeka isiyo tetereshwa sasa kumuua hadharani italeta shida kimataifa itazidi kuchafua nchi hivyo nahisi Kuna akili ya kijinga inatakiwa kutumika maana siwezi kusema akili kubwa nitakuwa nawapa sifa wasiyostahili
 
Hoja dhaifu sana hizo,haziwezi kumuokoa mbowe
Polisi anaweza kufanya kazi popote...
Sawa mkuu mbona hata hao mawakili wa JAMHURI naona wameanza kuweka mapingamizi kwa mashahidi,hukujua ilikuwa mitego na sasa wanadumbukia kwenye mashimo waliyoyachimba wao wenyewe the Lembrus shahidi Tata amevuruga walichokijenga kwa jasho na damu kwa saa chache tu.
 
WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya

Shahidi: Ni sahihi

WS: Ni sahihi Mahakama Haijaonyesha Kwamba Mohammed ana ufahamu wako wewe Kuwepo Mahakamani

Shahidi: Ndiyo

WS: Kwa hiyo nitakuwa nakosea Nikisema Wewe Umeletwa Kwa Madhumuni fulani fulani

Shahidi: sawa

Jaji: Shahidi Umesema

Shahidi: Sawa
 
WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya....
Maana ya kusema madhumuni fulani fulani ndo point yako kwamba alijimaliza kukumbali au kuna jingine?
 
Mbona bado ni jibu sahihi? Hayo madhumuni flan flan ni pamoja na kuthibitisha kuwa msemwa anafanya kaz kituo kingine sio central! Tatizo lenu
 
Vituo vya polisi havina camera za CCTV mapokezi kujua nani ameingia au kutoka?
Mbona haya mambo yanayobishaniwa yangeweza kumalizwa kirahisi sana kwa teknolojia ndogo kabisa za kisasa?!
 
Vituo vya polisi havina camera za CCTV mapokezi kujua nani ameingia au kutoka?
Mbona haya mambo yanayobishaniwa yangeweza kumalizwa kirahisi sana kwa teknolojia ndogo kabisa za kisasa?!
Kesi ya kubumba hiyo kaka, jamuhuri hawawezi kukubali hilo litokee
 
Huyu kabumbwa na kujilipua kwa maslahi ya Mbowe
Sidhani jamaa anajiamini sanaa kua mushabiki wa wacdame ni just an added advantage ila iko poa sanaa ukilinganisha na wale mashahidi wa police walio ingia na kijitabu.
 
Zaidi ya bastola moja na risasi tatu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Poa. Labda niulize kwamba ni namna gani hivyo ulivyovitaja viko related na 'kupanga kula njama kufanya vitendo vya kigaidi' to the extent that nikimwona mtu mwingine whether anamiliki silaha legally au illegally niweze kuona kama ana hizo characteristics za kupanga kula njama/kufanya vitendo vya kigaidi.
 
Sidhani jamaa anajiamini sanaa kua mushabiki wa wacdame ni just an added advantage ila iko poa sanaa ukilinganisha na wale mashahidi wa police walio ingia na kijitabu.
WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya

Shahidi: Ni sahihi

WS: Ni sahihi Mahakama Haijaonyesha Kwamba Mohammed ana ufahamu wako wewe Kuwepo Mahakamani

Shahidi: Ndiyo

WS: Kwa hiyo nitakuwa nakosea Nikisema Wewe Umeletwa Kwa Madhumuni fulani fulani

Shahidi: sawa

Jaji: Shahidi Umesema

Shahidi: Sawa
 
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe, mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.

Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.

Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.

Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii.

Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.

Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.

Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.

Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia

Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa, kwasababu atainajinsi mahakama. Hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu
huamini jamhuri inaweza kupoteza pesa kutengeneza kesi kubwa namna hii?....wake up....mashahidi wao wote ni polisi-wanalipwa mshahara na serikali. Na Tangu jpm aingie madarakani hawakupandishwa vyeo. Ukiahidiwa kupandishwa cheo ili utende uovu ikiwa wewe si mtu wa haki lazima utakubali.

Mawakili wa serikali nao ni hivyo hivyo

Hakuna gharama hapo. sana sana ni mafuta ya magari ya magereza na chakula wanachowapa mahabusu.
 
Hoja dhaifu sana hizo,haziwezi kumuokoa mbowe.

Polisi anaweza kufanya kazi popote.

Mahakama inapochakata ushahidi,inajiegemeza katika kuangalia unamuhusishaje mshitakiwa. Katika kupeleleza polisi wanaweza kumtoa askari nachingwea,kwa sababu ana utaalam na ugaidi ili aende maswa kuna tukio.

Kibatala anatakiwa ajipange kupangua ushadi,sio kupinga mashahidi sijui huyu anatoka kyela kafikaje Arusha,mteja wake atazama

..askari wote huwa na vituo vyao vya kazi, lakini wanaweza kutumwa nje ya maeneo yao kwa uratibu wa wakubwa zao.

..Ndio maana Kingai, Mahita,...waliweza kutoka ktk vituo vyao kwa maelekezo ya wakubwa zao kwenda kilimanjaro kuwakamata kina Adamoo.

..Kilicholeta mabishano mahakamani ni suala la askari mmoja kutuhumiwa na upande wa utetezi kwamba amedanganya kuhusu kituo chake cha kazi.

..Suala hilo ni muhimu kwasababu upande wa mashtaka unadai watuhumiwa walihifadhiwa ktk kituo hicho na askari aliyetoa ushahidi. Watuhumiwa nao wanadai hawakuwahi kufika ktk kituo hicho cha polisi.

..Ikibainika kwamba watuhumiwa hawakufikishwa ktk kituo anachodai shahidi, kutakuwa na mashaka pia ktk ushahidi wote alioutoa shahidi huyo, ikiwemo maelezo yaliyochukuliwa toka kwa watuhumiwa.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom