Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Khahahahaha,jamaa zake wote kimya.hawaamini kinachotokea.tume nao wamejaribu kutikiisa kiberiti,jamaa amewapa za USO sidhanii kama watarudia
Sisi waafrika tumeshindwa kabisa kujitawala wenyewe, nadhani ifike mahala Umoja wa mataifa waje wakae pale Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili wasimamie uchaguzi na kutoa takwimu sahihi za matokeo ya Upigaji kura
 
Hakika,maana imefikia hatua mwafrika akishika hatamu anataka ubaya usisemwe.afu anaanza kuzima wasiompenda.huwezi pendwa na wote.Hata mungu mwenyewe anapingwa sembuse binaadamu.
 
Back
Top Bottom