Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,227
- 26,048
Yaani kalenga mulemule!!! Najua leo CCM lazima watafutane!!du... ila Tundu Lissu leo katema sumu ya kufa mtu Mbarali aisee.
sumu ni kali sana ile.... du!
Mpwa kuwa mlipaji mkuu wa serikali na kampuni ya mume mwenza kuwa ndo mjenzi wa uwanja wa chato??? Aisee Jiwe ni fisadi