Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Hii ni Mbarali


Subpost 4 - Hapa - Mbarali watu wameondolewa kwenye makazi yao, wanakamatwa na ku ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Hapa - Mbarali watu wameondolewa kwenye makazi yao, wanakamatwa na ku ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Hapa - Mbarali watu wameondolewa kwenye makazi yao, wanakamatwa na ku ( 482 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Hapa - Mbarali watu wameondolewa kwenye makazi yao, wanakamatwa na ku ( 479 X 640 ).jpg
 
Aisee hii dhihaka haisadii kitu, mtu aliyepaswa kuwa amekufa miaka mitatu iliopita kitendo cha kuwa hai tu ni ushuhuda let alone kutembea.

Aliyemsaidia huyo unayemkejeli asafirishwe Nairobi ndio amepewa R.I.P na huyo huyo unayemkejeli. Maisha hayana formula kwahiyo usijione upo safe sana
Kwani kuna popote nimemkejeli au unaropoka tu
 
Kumbe 70% ya mashamba ya wananchi mbarali yamepelekwa TANAPA , Lissu atashughulikia jambo hili
 
Vita ya Zanzibar, Kusini, Kusini Nyanda za juu ,kaskazini na Pwani...pamoja na kanda ya ziwa na kati ...Magu mapemaa achia nchi
 
Mungu atupe nini tena watanzania Tanganyika Lissu, Zanzibar Maalim Seif, viongozi wenye akili zao timamu ndio hawa... sio yule muovu mwezi mchanga, ukiandama, na yeye anatuandama kwa matusi na masimango. Karaha juu ya Karaha.
ViVa Lissu ✌🏽
#NIYEYE #LISSURAIS2020
 
Kwani kuna popote nimemkejeli au unaropoka tu
Unapost vp picha ya hivyo alafu unasema sio kejeli?
Kwa sheria ya cybercrime hata kushare tu malicious content ni kosa. Kwa muktadha huo kutuma picha inayokejeli ina maana na wewe umehusika kwenye hiyo parody.

Kwahiyo kisheria nipo sahihi kabisa sijaropoka.
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom