Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,696
2,000
du... ila Tundu Lissu leo katema sumu ya kufa mtu Mbarali aisee.

sumu ni kali sana ile.... du!
Yaani kalenga mulemule!!! Najua leo CCM lazima watafutane!!

Mpwa kuwa mlipaji mkuu wa serikali na kampuni ya mume mwenza kuwa ndo mjenzi wa uwanja wa chato??? Aisee Jiwe ni fisadi
 
Karibu Sana

JF-Expert Member
Mar 14, 2020
746
1,000
Unapost vp picha ya hivyo alafu unasema sio kejeli?
Kwa sheria ya cybercrime hata kushare tu malicious content ni kosa. Kwa muktadha huo kutuma picha inayokejeli ina maana na wewe umehusika kwenye hiyo parody.

Kwahiyo kisheria nipo sahihi kabisa sijaropoka.
Kwani hiyo picha ni Photoshop hiyo picha ni halisi ukisema namkejeli kwa kitu halisi unaonesha hujui hata maana ya kejeli
 
Ngonidema

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
2,645
2,000
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Uwe unaelewa wewe boya, tafautisha kutafuta wadhamini na kampeni
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,908
2,000
Kwani hiyo picha ni Photoshop hiyo picha ni halisi ukisema namkejeli kwa kitu halisi unaonesha hujui hata maana ya kejeli
Kejeli ni hayo maneno yaliyowekwa hapo kuwa ''kapigwa jeki''. Hivi Mama yako akibakwa akashindwa kutembea mpaka asaidiwe alafu ukute anadhihakiwa hivo ungejiskiaje wakati alisababishiwa ulemavu na watu wabaya.

At least fikiria kwa angle ya familia yake tu kabla ya kujitoa ufahamu kisa siasa. Hizi laana mnajiletea kwa koo zenu alafu mnakuja jiuliza mlikosea wapi kumbe ni upuuzi mlioshabikia huko nyuma.

Kiukweli umenikwaza sana mkuu.
 
Kwangu hayo maandishi naona sawa maana kapigwa jeki kweli wala sio uzushi au eti kejeli
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
1,608
2,000
Kuwa upinzni ni devotion kweli kweli, kwa awamu ya tani wabunge wetu wametumia karibu robo ya muda wao wote wakiwa aisha mahakamani au mahabusu kwa kesi za kutengeneza na kukomoana achilia mbali kuharibiwa mali zao na miradi yao binafsi.
Walidhani wanawabomoa kumbe wamewajenga.
Tuliwaambia ccm msiwatume polisi kukamata wapinzani ni hatari mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa,mtu akishazoea kukamatwa atoogopa tena ataona kituo ni sawa na sebuleni anakamatwa baada ya wiki anaachiwa,Leo wanapata wakati mgumu,makombora kila mahali awajajibu hili lingine hilo.Hilo la ufisadi sijui watarijibu vipi
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,137
2,000
Zile nyau zilizokua zinasema upinzani umekufa rasmi mbona hazisemi tena
Hao pusi wanatamani hata kuwauwa hao watu wanaoenda kwenye mikutano ya Lissu kwa jinsi roho zinavowauma, yule mgombea wao wa urais (makufuli) watu wa kagera walisikika wakisema hatukutaki baada ya kuwa amewauliza kama watamchagua, nasikia ameagiza polisi wawakamate hao waliosema hatukutaki
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,137
2,000
Walidhani atagombea ubunge,kumbe uraisi.ngoma ngumu memo alilishwa matango poli na vilaza wake wale.kiufupi polepole na Bashiru siasa haiwezi.Eti wanafunga mitambo Leo hii jiwe anahangaika na mitambo aliyoaminishwa.
Huyo Meko alikuwa analialia kule geita anawaomba wasukuma wampe kura eti kwa sababu yeye ni mtoto wa hapo kwao,
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,270
2,000
Hao pusi wanatamani hata kuwauwa hao watu wanaoenda kwenye mikutano ya Lissu kwa jinsi roho zinavowauma, yule mgombea wao wa urais (makufuli) watu wa kagera walisikika wakisema hatukutaki baada ya kuwa amewauliza kama watamchagua, nasikia ameagiza polisi wawakamate hao waliosema hatukutaki
Yule jamaa ni mafuta..a.k.a mwezi mchanga...utalazimisha wote wakupende? .amuige JK
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom