Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Hizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
Hii elfu7 inayolipwa kwa hiki kichwa inapotea bure, johnthebaptist mwambie Bashiru vijana aliowatuma kujibu hoja wana mtindio wa ubongo, hawawezi kuumiza vichwa vyao.
 
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
View attachment 1570647View attachment 1570648
Hivi ile Dream liner ina mafuta ya kutosha kufika ujerumani?
 
Hizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
Za halisi hizi hapa
Subpost 2 - Kwani kwenye - graduesheni za shule za msingi wanamualikaga mkuu_  .  ( 385 X 640 ).jpg
 
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Kwani mh Lissu yuko wapi? Au unadhani yupo ikungi anavuta pumzi? Jembe lipo kikazi huko nyanda za juu
 
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
View attachment 1570647View attachment 1570648
Chama Tawala CCM nawasihi sana aagizeni vyombo vya habari virushe kampeni za wapinzani ili na wagombea wa CCM wazichukue hizo hoja na kuzitolea ufafanuzi.

Mkiachie hoja za wapinzani zibaki kwa wananchi bila ya wenye mamlaka kuzisikia ili kuzitolea majibu zinaweza kuwa na matokeo hasi kwa CCM
 
Back
Top Bottom