Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Katibu wa CHADEMA kanda ya CHADEMA Nyasa na mgombea wa CHADEMA ubunge jimbo la Njombe mjini wakili Emmanuel Godfrey Masonga alipokuwa akielezea hali ya kisiasa alipohojiwa hapo tarehe 28 Agosti 2020

 
Subpost 2 - Umati wa wakazi wa Njombe Mjini waliojitokeza kumsikiliza mgombea ur ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Umati wa wakazi wa Njombe Mjini waliojitokeza kumsikiliza mgombea ur ( 640 X 640 ).jpg
 
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Kwani umeeekasirikaaa
 
15 September 2020
Njombe mjini
Tanzania

Viongozi wa CHADEMA kanda ya Nyasa wazungumza leo mjini Njombe kampeni za 2020


Wakulima wa Njombe wa mazao ya Viazi, maparachichi , miti n.k vinakatwa kodi ya VAT na serikali . Vitambulisho ni kero kwa mama ntilie na wafanyabishara wadogo wanabanwa na kodi lukuki...
 
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
Hizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
 
Back
Top Bottom