Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,305
Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara

Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote anakopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

Ratiba ya Mgombea Urais ( 640 X 640 ).jpg

========

Mwibara
Subpost 1 - Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ( 359 X 640 ).jpg

Ukerewe :
Mkutano haukufanyika baada ya waendesha kivuko kuelekezwa kutombeba Lissu kwa kutumia kivuko hicho ili kumkwamisha , ratiba mpya ya mikutano ya Ukerewe itapangwa tena .

Bunda Mjini

Time management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..
 
Ameshakujibu leo kua ratiba hii ilikua ya chopa ambayo ccm wamemzuia rubani.....

Walaumu ccm sio Tundu Lissu..... Btw watz tayari wameshamuelewa sn mpaka sasa.... Ni km anakamilisha ratiba tu na kusalimiana na wananchi
 
Huyo ndio Lissu halisi
Muda mrefu Tanzania ilikuwa imekosa mtu wa kum-challege Magufuli kwa hoja. Lissu amemshusha kule mawinguni alikokuwa amejiweka na kumfanya aonekane kama zuzu. Hili la uwanja wa ndege wa Chato hata walitolee ufafanuzi gani ni dosari kubwa sana inayoonyesha tulivyo na rais mwenye ubinafsi na maamuzi mabovu.
 
Time management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..
Nachukua nafasi hii kwa niaba ya Timu nzima kuomba radhi kwa yaliyotokea
 
Ameshakujibu leo kua ratiba hii ilikua ya chopa ambayo ccm wamemzuia rubani.....

Walaumu ccm sio Tundu Lissu..... Btw watz tayari wameshamuelewa sn mpaka sasa.... Ni km anakamilisha ratiba tu na kusalimiana na wananchi
Kama rubani kakataliwa kwa sababu ya sheria hatutakiwi kulalamika. Kwamba pilot wa helkopter Tanzania ni huyo babu tuu?? Tusiwe watu wa kulalamika. Tuwe watu wa kutafuta majibu.
 
Time management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..

We are strategic men-please be patient and see the outcomes.
 
Nakubali, ila strategy ziwe halisi. Tuangalie kwenye kura nyingi tusi waudhi wasikilizaji. Naamini Mh Lissu angefika mapema Nyamagana jana hapange tosha.. Watu wengi waliondoka baada ya kuchelewa. Halafu wakio baki wanaona mgombea ana lazimishwa kumaliza mkutano na Rpc.. Think that way...
 
Wamemlazimisha kutumia usafirir wa magari badala ya Chopper kwa kisingizio cha Rubani Mzee,wakataka wao ndiyo waanzishe matumizi ya Chopper ila mpango umebuma maana hawafahamu tena Sera gani wanaenda kuisema huko watakakotua.

Sasa hivi kampeni wanafanya Samia na Mjaliwa/Pinda ila nao hawana cha kuwaambia wananchi zaidi ya kusemea Ndege walizonunua,Bwawa la umeme linalojengwa na sgr ambayo itakamilika baada ya 15 Years.CCM kifo chao hakina kizuizi tena.

Watanzania wameshaamua kwenda na Mh.Lissu na kwenye hilo hakuna wa kuwazuia,kinachotafutwa kwa sasa ni Wabunge na Madiwani ili kuunda Serikali iliyochguliwa na Wananchi na siyo wabunge/madiwani waliopitishwa na Tume ya Uchaguzi.Kampeni za CCM zinafanyikia Ikulu na Mzee Baba amelegea tepe tepe.
NI YEYE LISSU 2020!
 
Lissu The Game changer
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom