Elections 2010 Yanayojiri kwenye kampeni za CCM Mwanza

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Nilitoka kuangalia mpira. Najaribu star tv nakuta kuna kampeni za CCM. Wasanii akina Flora Mbasha nao wametinga Mwanza. Sasa hivi anahutubia Bilal

s63uy8.jpg
 
Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza
 
Wakulu JK yuko Jukwaani akiongea toka 5.50 PM.

Kaelezea mafanikio katika barabara, elimu na vivuko . . .

Anaendelea . . .

Umati wa watu ni mkubwa kiasi.

Pamoja naye namwona Msekwa na Bilali.

Nyuma yuko mpambe wake mwenye uniform. Ila kuna body guard wa ziada leo kasimama nyuma yake. Kavaa kaunda suiti long sleev . . .
 
Anasema kwa upande wa barabara ukitoka saa 12 asubuhi, DSM unafika saa 12 jioni.

Pia anasema ajira zimepatikana 1.3 M
 
Anasema Ilani Mpya itafanya zaidi katika ajira na biashara.

Pia mikopo ya mitaji itapatikana kwani mitaji imeongezwa TIB na kuwekeza katika benki ya kilimo
 
Anasema wameshaongea na prof. Yunusi wa Bangladeshi juu ya kuanzisha benko ndogo ndogo.

Benki ya wanawake imeshaanza na bado watafanya zaidi.

nafasi za wanawake ktk madaraka zimeongezeka
 
Wajaji, Wakuu wa wilaya, mawaziri ameteua wengi katika historia,

Wanawake wanaweza kuliko wanaume ambao wengine ni wadokozi
 
Anatoa mfano jinsi alipokuwa mbunge wanaume walivyoshindwa kusimamia mashine za vikundi
 
Anadai katika Kilimo sasa hivi watatengenga pesa zaidi katika kilimo. Kuna ziada zaidi ya chakula
 
Naona leo kuna mlinzi wake na njemba nyingine iliyoshiba tayari kwa kumpokea akidondoka...
 
Ruzuku imetolewa kwa wakulima wa pamba. matokeo yataonekana.

Amefufua vyama vya ushirika kwa kuwakopesha.

Wezi wasiruhusiwe kuwa viongozi wa vyama
 
Deni la Ushirika la Billioni 5 atawasaidia (??? PCCB please . . . . haaa haaa joke)
 
Kilimo . . . tutoke jembe la mkono twende kwenye matrekta. serikali imejizuia kununua magari for 2 years. Matrkta 3000 yameagizwa
 
Anasema nyanza imefirisika kwa sababu ya wezi hawa wezi walitoka wapi...anasema atawasaidi kulipa madeni daaaah yaani wezi uwasaidi kulipa deni kwanini usiwafunge....
 
Kauli mbiu ya Kilimo Kwanza imeanzishwa . . . mbegu bora, pembejeo, masoko nk
 
Back
Top Bottom