Tangu saa 12 asbui watu walikuwa tayari kwenye viunga vya UDOM,,,,kwa bahat mbaya natumia mobile device(nimeshindwa ku-upload) photos lakini kuna umati mkubwa sana wa watuu,,,,,,naposema ni wengi i mean ni wengi sana,,,,,,kila mtu anaongea lake,,,,ingawa hiyo interview ilipaswa kuanza saa 2 asbuhi lakin imechelewa sana maana wahusika walichelewa kufika,,,,,,saa 3 kuna watu wameingia kama awamu ya kwanza na saa 5 wengine na saa 8 wengine,,,,,,kuna baadhi ya nafas zinataka watu kumi lakin waombaji wamefika ni zaid ya miatano,,,,,,,,
yeyote ambae yupo udom hapa eneo la social and humanities anaweza kuendelea kutoa ushuhuda.....kwa mimi navyooona suala la ajira ni JANGA
yeyote ambae yupo udom hapa eneo la social and humanities anaweza kuendelea kutoa ushuhuda.....kwa mimi navyooona suala la ajira ni JANGA