Yanayojiri kikao cha Kamati Kuu CHADEMA sasa Mbezi Garden Hotel

mkuu na hicho ndicho kinacho iogofya sana ccm. Ingawa washabiki wake hawataki kulikubali hilo. Ila kama ufanye kuliarifu taifa kuwa saa mbili usiku rais atazungumza na taifa kupitia tbc1 na hapo hapo useme saa mbili mbowe atazungumza na waandishi wa habari live itv na kuhakikishia 80% wataangalia itv.

mbowe ni msanii tu kama kingwendu anavyoshabikiwa na watu ila kwenye kura hawampi
 
Ukawa warudi ama wasirudi bungeni "....Sura ya kwanza na sura ya Sita imeshamalizwa kujadiliwa kinacho subiriwa ni kupigiwa kura na wabunge watakaporejea mwezi wa nane...." by JK.
 
CCM ni chama cha vituko bungeni wanalazimisha rasimu ya katiba ipitishwe kama wanavyotaka wao.Watetezi wa wananchi wametoka bungeni CCM wameanza kulialia ili UKAWA warudi bungeni wapate kisingizio cha kusingizia kwa wananchi kuwa hata UKAWA walishiriki kupitisha mambo yao.
 
Mbowe na genge lake yao ni maandamano na fujo. Mambo ya katiba wawaaachie wastaarabu waendelee na mchakato.
 
Tabia ambayo nina uhakika wa 100% Kikwete anayo ni UNAFIKI NA UKIGEUGEU ULIOPITILIZA. Rais wetu ni mtu mnafiki sana na hiyo inasababishwa na kutaka kupendwa na kila mtu na kukosa umadhubuti wa kutambua anasimamia nini.

mbowe ni msanii tu kama kingwendu anavyoshabikiwa na watu ila kwenye kura hawampi
 
Mbowe ana ongea kama mtu aliye changanyikiwa na kama wanataka mabadiliko kwenye uchaguzi ujao warudi bungeni kinyume na hapo hakuna mabadiliko nje ya bunge la katiba!

Naache tabia ya kuongea na Rais kama anavyo ongea na Wafanyakazi wake wa Billicanas ni vyema awe na adabu!

Mbowe unatakiwa yeye ndiye kigeugeu na mnafiki mkubwa maana alisema hata chukua gari la KUB lakini hadi leo analo na anapiga nalo starehe hadi Nairobi!

Kama hamtaki rasimu ya Warioba ibadilishwe na kuchambuliwa basi ni bora msirudi kabisa maana hakuna atakaye kubali ujinga huu wa kuigeuza Rasimu bible au msaafu!

Mnatakiwa kujua kuwa tusipo pata katiba mpya basi ya zamani itaendelea kutumika!
Safari hii vitafunwa na chai ya ikulu havitotumika kuwabembeleZa mmezidi deko sana!
.
#reastinpeaceUKAWA .

Rutashobolwa ujui unachokiandika kwa taarifa yako mwenyekiti pendwa kamanda mbowe anaaminiwa na zaidi ya watanzania milioni ishirini. Viva mbowe mbowe viva chadema viiva kamati kuu na mungu awalinde na kuwapa hekima katika vikao vya kamati kuu.
 
Mbowe ana ongea kama mtu aliye changanyikiwa na kama wanataka mabadiliko kwenye uchaguzi ujao warudi bungeni kinyume na hapo hakuna mabadiliko nje ya bunge la katiba!

Naache tabia ya kuongea na Rais kama anavyo ongea na Wafanyakazi wake wa Billicanas ni vyema awe na adabu!

Mbowe unatakiwa yeye ndiye kigeugeu na mnafiki mkubwa maana alisema hata chukua gari la KUB lakini hadi leo analo na anapiga nalo starehe hadi Nairobi!

Kama hamtaki rasimu ya Warioba ibadilishwe na kuchambuliwa basi ni bora msirudi kabisa maana hakuna atakaye kubali ujinga huu wa kuigeuza Rasimu bible au msaafu!

Mnatakiwa kujua kuwa tusipo pata katiba mpya basi ya zamani itaendelea kutumika!
Safari hii vitafunwa na chai ya ikulu havitotumika kuwabembeleZa mmezidi deko sana!

#reastinpeaceUKAWA .

pathetic!!!!!....
 
Kwa kuuanzisha mchakato huu,
CCM wanajilaumu sana!! kulikuwa hakuna haja ya kukijeruhi chama namna
hii wakati hakukuwa na shinikizo lolote na wala swala hili halikuwapo
kwenye ilani iliyowaweka madarakani 2010.

Hii ngoma si ya kitoto, wakicheza vibaya tu ndiyo basi tena kuelekea
2015.

You are very correct.......
 
Mbowe ana ongea kama mtu aliye changanyikiwa na kama wanataka mabadiliko kwenye uchaguzi ujao warudi bungeni kinyume na hapo hakuna mabadiliko nje ya bunge la katiba!

Naache tabia ya kuongea na Rais kama anavyo ongea na Wafanyakazi wake wa Billicanas ni vyema awe na adabu!

Mbowe unatakiwa yeye ndiye kigeugeu na mnafiki mkubwa maana alisema hata chukua gari la KUB lakini hadi leo analo na anapiga nalo starehe hadi Nairobi!

Kama hamtaki rasimu ya Warioba ibadilishwe na kuchambuliwa basi ni bora msirudi kabisa maana hakuna atakaye kubali ujinga huu wa kuigeuza Rasimu bible au msaafu!

Mnatakiwa kujua kuwa tusipo pata katiba mpya basi ya zamani itaendelea kutumika!
Safari hii vitafunwa na chai ya ikulu havitotumika kuwabembeleZa mmezidi deko sana!

#reastinpeaceUKAWA .

ni jambo la kusikitisha sana kijana kama wewe unae juwa kusoma na kuandika una jitoa ufahanu na kuandika upumbavu kama huu.
 
Back
Top Bottom