OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,072
- 103,278
Wanajukwaa kwa wale christian na wasoma bible mnaweza kurejea katika kitabu cha Luka,Luka 23:17-25.Wakati Yesu akiwa gerezani Pilato akataka kuwafungulia mfunwa mmoja wakati wa sikukuu.Yesu alikuwa pamoja na muasi Baraba,wakati Pilato akitaka kutoa mfungwa watu walipiga kelele aachiwe Baraba na Yesu asulubiwe.Haya ndiyo yanayojiri Kigoma ktk mapokezi ya muasi Zitto.Thanks Ben kwa mfano halisi