alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya maasi yaliyokuwa yametokea mjini na kwa ajili ya mauaji ktk ufalme wa Herode
Huo mfano wakristo tu ndo watakuelewa. Ubaguzi unawatesaWanajukwaa kwa wale christian na wasoma bible mnaweza kurejea katika kitabu cha Luka,Luka 23:17-25.Wakati Yesu akiwa gerezani Pilato akataka kuwafungulia mfunwa mmoja wakati wa sikukuu.Yesu alikuwa pamoja na muasi Baraba,wakati Pilato akitaka kutoa mfungwa watu walipiga kelele aachiwe Baraba na Yesu asulubiwe.Haya ndiyo yanayojiri Kigoma ktk mapokezi ya muasi Zitto.Thanks Ben kwa mfano halisi
Kabla ya kukurupuka soma vema post yangu dada... unataka kupinga ukweli kuwa Karamagi, Chenge, Maranda, Rostam Aziz hawakupokelewa kwenye majimbo yao kwa michozi kibao ilhali walikuwa mafisadi wenye utajiri wa kunuka ilhali wananchi ni mafukara wa kutisha? utajiri wa Zitto unaendana na kipato chake halali? Usaliti anaoufanyia CDM na wananchi unajaribu kuufumbia macho? unatofauti gani na mtu mwenye kunya stand ya bus wakati wa mchana huku ameziba uso wake kwa viganja vya mikono? inamaana hujui sakata la Buzwagi, NSSF, EPA, Nyumba za BOT, Symbion, Gesi, Airtel, Voda, Tigo, NDC, Kiwira zilivyomtajirisha Zitto? ...Waulize CCM wamemkatia kiasi gani kama kianzio cha kuimaliza CDM? Mataifa makubwa wamemtumia mara ngapi kupitisha sera zao za kutuhujumu? ... fanya utafiti wa kumfahamu zitto vizuri kabla ya wewe kuja hapa jukwaani na kuharisha kama bata...Mtaishia kunawa tuu kula hamli, roho mbaya zenu ndio mikosi kwenu, fisadi usojijua ....
Huo mfano wakristo tu ndo watakuelewa. Ubaguzi unawatesa
Nimekuelewa sanaRajabu Maranda baada ya kukwapua fedha za EPA na kujenga kwa alitukuzwa kama mfalme huko Kigoma... Hili la Zitto halishangazi hata kidogo... Chenge mzee wa vijicent aliekuwa na mabilioni jessy island alipokelewa kishujaa kule bariadi pamoja na umasikini uliokolea... Kesho asubuhi Zitto ataendelea kunuka damu ya usaliti na dhamira itaendelea kumsuta kama kawaida...
kiherehere chote cha nn sin mmetumia ukabila kumnyanganya uongoz, embu sikia kashifa ya huyo mnayesema at ndo anafaa kuwa mwenyekit! yote na yote sie wana kg ndo tnamfaham ZZK kwa hyo tnawashangaa mnahangaika nnRajabu Maranda baada ya kukwapua fedha za EPA na kujenga kwa alitukuzwa kama mfalme huko Kigoma... Hili la Zitto halishangazi hata kidogo... Chenge mzee wa vijicent aliekuwa na mabilioni jessy island alipokelewa kishujaa kule bariadi pamoja na umasikini uliokolea... Kesho asubuhi Zitto ataendelea kunuka damu ya usaliti na dhamira itaendelea kumsuta kama kawaida...
Sihsangai wala hunishangazi kwani kwako na watu wa aina yako kashfa ni issue za ngono! Kwetu kashfa ni wizi wa mali za umma zinazopelekea watoto kusoma chini miti, walimu, madaktari kutolipwa mishahara yenye staha, kashfa kwetu ni Tembo na wanyama wengine kuuawa na kutoroshewa nje ya nchi, Kashfa kwetu ni wananchi kukosa maji safi na salama wakati tumezungukwa na maziwa plus mito mikubwa, kashfa kwetu ni kuwa Tajiri lakini tunaendelea kutembeza bakuli la kuomba misaada! Kashfa kwetu ni kukubali Dhahabu, Almasi, tanzanite, Gesi kusoombwa huku CCM na Vibaraka wenu mkichekelea vidola vichache mnavyopewa kama mazuzu...Clinton alitengeneza uchumi wa USA, Issue yake na Monica Lewinsky ilikuwaje? Acha Uzuzu ndugu yangu ...ssssss Nchi yetu tajiri ila vibaraka ------- wanasababisha tuendelee kutaabika na umasikini huu uliokithiri...Kataa CCM, Kataa Vibaraka kwa Maendeleo ya nchi yetu Mkuu...kiherehere chote cha nn sin mmetumia ukabila kumnyanganya uongoz, embu sikia kashifa ya huyo mnayesema at ndo anafaa kuwa mwenyekit! yote na yote sie wana kg ndo tnamfaham ZZK kwa hyo tnawashangaa mnahangaika nn