Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Vitu vingi wala huhitaji kufanya uchunguzi viko wazi kabisa all over the place.

Hahaha mimi huyo niwe kasuku! Never
Naamini kwenye ninachokijua hadi nitakapo jua tofauti na kile ninachokiamini
Huwa sibebi maneno ya kuambiwa na kutembea nayo bila kuyafanyia uchinguzi
 
Endelea tu kutetea ushenzi unaofanyika kwa sababu yaliyokukuta sio wewe, na kwavile mnatetea utawala ndo basi tena mnadhani mpo safer kulinganisha na wengine but am telling you; you're not !!
Ulifanyika na nani mkuu. Majanga yooote yanayotokea lawama lazima ziwe kwa kwa serikali na rais??
Tujitahidi kufikirisha akili tulizopewa na Mungu
 
Tutawapeleka the Hague mkapakatwe na michi ya kizungu huko nyambaf nyie washamba wakubwa

Hahahahaha The Hague?! Hujui maana ya Hague wewe...hujui kabisa...ndiyo maana Marekani hataki kusikia kitu kinaitwa...mahakama ya kimataifa...hujui kabisa how it operates...umelishwa tu kuwa Kuna The Hague...Wala hujui The Hague iko wapi...umekarurishwa tu...hujui kuwa yule anayehamasisha vurugu naye atapelekwa the Hague...hujui kuwa anayewaambia wananchi nendeni mkavunje ofisi zile...nendeni muwapige wale...anayesema nendeni mkachukue kinachodaiwa haki naye ni 'candidate' wa The Hague...kwa hiyo Ndugu yangu Lissu wenu, Mnyika na Mwalimu ni candidates wa The Hague,..pole Sana anayehamasisha kuchomwa ofisi za vyama Kama ofisi za Chama...kwa hiyo viongozi wa Chadema baadhi yao walihamasisha ofisi za Chadema zichomwe ili kuichafua serikali na CCM.

Sasa wenzenu polisi wameweka ushahidi...wenzenu CCM wako kimya..Wakati Fulani CCM wanahubiri amani kwenye majukwaa...nyie mnahubiri chuki na fujo mara sijui kitanuka mara sijui kitaeleweka mara sijui The Hague huku mnahubiri fujo na wenzio wanapiga picha/video za ushahidi...stupid...sijui mijitu mingine sijui ikoje?!?!

Can't you use your brains?! Hamshangai kwanini Lissu hajafanywa kitu? Hamshangai mbona polisi na dola wako kimya.? Kazi yenu kuropoka tu msijue madhara ya kuropoka..sijui mara huyu just atatoroka sijui mara kile...very stupid...candidates wa The Hague ni nyie Kama mlikuwa hamjui...
 
Swala la watu kuuwawa limekua likitokea kwenye jamii yetu kwa sababu mbalimbali ikiwemo uchumi, sababu za kijamii, kiimani, kiutawala na siasa, na hata na hata wakati mwingine tunashindwa kupata sababu.
Kulikua na mauaji ya professor mwakusa aliuwawa na serikali? Mauaji ya Dr Mvungi je? Uthibitsho upo?

Hakuna anayefurahia mauaji, hakuna aliyefurahia Tundu kupigwa risasi pia. Wacha vyombo vya sheria vifanye kazi vije na majibu. Japo hivyo vyombo vyenyewe vinatukanwa
Kwenye suala la Tundu Lissu vyombo vya uchunguzi vimeonyesha kutokuwa na interest ya kuchunguza na kuwatia nguvuni waliohusika.

Kwa mfano, haileti picha nzuri kwa IGP Sirro kusema kwamba tangu arejee nchini, Tundu Lissu ametafutwa na wapelezi wa polisi lakini "hawajampata."

Kwanza, imepita miaka mitatu jeshi la polisi halijaweza kumhoji. pili, haingii akilini ITV wameweza kumpata Tundu Lissu na wakamfanyia mahojiano, halafu IGP aseme jeshi la polisi limeshindwa. tatu, Tundu Lissu alikwenda mpaka ofisini kwa RPC wa Dodoma na hakuhojiwa.

Kwa hiyo mwenendo wa jeshi la polisi, na matamshi ya IGP, ndiyo yanasababisha baadhi ya wananchi wasiwe na imani kama tukio hili litachunguzwa.
 
Kwa taarifa rasmi na ya uhakika toka CCM waliojiandikisha hadi mwaka Jana hadi march mwaka huu pamoja na wakulipia card zao ni 15,000,000 waliojiandikisha April hadi July ni zaidi ya 2,000,000. Bado wale walioamua kuunga mkono juhudi za rais👍
Usisahau jumla ya wapiga kura ni 29,000,000

We data za CHADEMA unazijua au unasikia? Wanachama vijana zaidi mil. 14, akina mama mil. 3 wazee mil2 hapo hujagusa wasio na kadi .
Ni hivi habari ya data za wanachama wa vyama tuachane nayo kabisaa!

Hii habari ya kila chama kujifanya inatoa takwimu haina afya kwa mstakabali wa matokeo ya uchaguzi.

Hata CHAUMA, CUF, TLP wataibuka na takwimu zao, tena za mamilioni ya wanachama. Ukiiwajumlisha utakuta Tanzania ina wanachama wa vyama vya upinzani zaidi ya milion 100 wakati idadi ya watanzania ni milioni karibia 60.

Tusijichanganye, na tusipotoshe wananchi kwa takwimu uchwara. Mwenye kadi ya CCM hazuiliwi kumpigia kura Tundu Lisu na mwanachama wa TLP anaweza kumpigia kura Magufuli.

Kama hivyo ni kweli basi, takwimu zetu za wanachama tuendelee kuzihifadhi kwenye makabati yetu maana hazina mahusiano yeyote na kura. Lowasa, Sumaye, Kingunge ni CCM kindakindaki lakini mwaka jana walikipigia kura CHADEMA.

Kuna watu wanaendelea kuunga juhudi na wengine sera ya UHURU, HAKI NA MAENDELEO inawaamsha wanabadili maamuzi, wanaona waende kwa upande wa ukombozi japo wana kadi za CCM. Wengine wanalipiza kisasi cha kukatwa wakati wajumbe waliisha amua ya kwao.

Hii habari ya Polepole ya takwimu za wanachama ni propaganda, tusiipe uzito, tuipotezee. CCM kuwa na wanachama milioni 15 ni jambo la kusadikika tu, halina ukweli wowote.
 
Hahahahaha The Hague?! Hujui maana ya Hague wewe...hujui kabisa...ndiyo maana Marekani hataki kusikia kitu kinaitwa...mahakama ya kimataifa...hujui kabisa how it operates...umelishwa tu kuwa Kuna The Hague...Wala hujui The Hague iko wapi...umekarurishwa tu...hujui kuwa yule anayehamasisha vurugu naye atapelekwa the Hague...hujui kuwa anayewaambia wananchi nendeni mkavunje ofisi zile...nendeni muwapige wale...anayesema nendeni mkachukue kinachodaiwa haki naye ni 'candidate' wa The Hague...kwa hiyo Ndugu yangu Lissu wenu, Mnyika na Mwalimu ni candidates wa The Hague,..pole Sana...anayehamasisha kuchomwa ofisi za vyama Kama ofisi za Chama...kwa hiyo viongozi wa Chadema baadhi yao walihamasisha ofisi za Chadema zichomwe ili kuichafua serikali na CCM...Sasa wenzenu polisi wameweka ushahidi...wenzenu CCM wako kimya..Wakati Fulani CCM wanahubiri amani kwenye majukwaa...nyie mnahubiri chuki na fujo mara sijui kitanuka mara sijui kitaeleweka...mara sijui The Hague huku mnahubiri fujo...na wenzio wanapiga picha/video za ushahidi...stupid...sijui mijitu mingine sijui ikoje?!?! Can't you use your brains?! Hamshangai kwanini Lissu hajafanywa kitu? Hamshangai mbona polisi na dola wako kimya.? Kazi yenu kuropoka tu msijue madhara ya kuropoka..sijui mara huyu just atatoroka sijui mara kile...very stupid...candidates wa The Hague ni nyie Kama mlikuwa hamjui...
CCM haijawahi kuhubiri haki, inadhibiti amani. CHADEMA inadhibiti Haki maana unajua penye haki amani haikosekani. Tafakari!
 
..kwenye suala la Tundu Lissu vyombo vya uchunguzi vimeonyesha kutokuwa na interest ya kuchunguza na kuwatia nguvuni waliohusika.

..kwa mfano, haileti picha nzuri kwa IGP Sirro kusema kwamba tangu arejee nchini, Tundu Lissu ametafutwa na wapelezi wa polisi lakini "hawajampata."

..kwanza, imepita miaka mitatu jeshi la polisi halijaweza kumhoji. pili, haingii akilini ITV wameweza kumpata Tundu Lissu na wakamfanyia mahojiano, halafu IGP aseme jeshi la polisi limeshindwa. tatu, Tundu Lissu alikwenda mpaka ofisini kwa RPC wa Dodoma na hakuhojiwa.

..kwa hiyo mwenendo wa jeshi la polisi, na matamshi ya IGP, ndiyo yanasababisha baadhi ya wananchi wasiwe na imani kama tukio hili litachunguzwa.
Unafikiri ni rahisi kuchunguza suala unalolifahamu undani wake?Wakichunguza kwa kufuata uhalisia wanaenda kumhusisha Bashite na genge lake linalofadhiliwa na Mzee Baba.Wadunguaji siyo watu wasiofahamika na waliowatuma pia siyo SIRI.Ndiyo sababu ya kigugumizi kilichowatokea ghafla.
 
Vitu gani vya ajabu alivyojibu ? Kuliko tundu lissu alivyosema reli ya kwenda mpanda imeng'olewa?
 
Back
Top Bottom