Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 11 2018

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Vikao vya Bunge vinaendelea..
Taarifa mbalimbali kuhusu ripoti ya mkaguzi wa ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG) zinatarajia kuwasilishwa.
Anayeongoza kikao cha asubuhi hii ni mwenyekiti wa Bunge Najma.
Fuatana nami hapa;

 
Tukuombe utusaidie kuwaomba waheshimiwa wawasiliane na Makonda DNA itoe uthibitisho wa watoto wao.
Salam zimefikaaa mkuu ngoja nikawasubir getn na bangoo usiache kuangalia taarifa ya habar ya usiku utanionaa
 
Waziri wa tamisemi anaendelea kuwasilisha hotuba yake ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019
 
Back
Top Bottom