Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu
 
PM Mtarajiwa Hana makundi. Na ni kio ngozi mahiri asiyekuwa na uccm wala ucdm na Mh JPM anataka kulifanya taiga kuwa moja. Ila namsilitikia Mh Nape alitegemea Sana kuwa PM. Mpeni pole.

Umesema kweli namjua Kassim ni jamaa smart sana hana makuu na mpenda watu. Big up bro
 
Duh.......hapo ss, sijui utendaji wake huko Tamisemi ila huku si ndio kila wakati kunalalamikiwa ubadhirifu wa hela serikali za mitaa.

Acha tu, ila nadhani kazi yake kubwa itakuwa ni kujibu maswali ya papo kwa papo Bungeni.
 
Kwa mbali naiona div 6 inakuja!!!!
Darasa la nne na form 2 hawatarudia darasa!!! i dont know tunaenda wapi!!??
 
Watanzania hatueleweki, akimchagua makamba ni remote control, na sasa kamchagua kassem na kwa sababu ametokea Lindi mnasema ni remote control.

Mkuu watz hawawezi hata kidogo tunaongea sana hadi shetani anatushangaa waulize walitaka nani awe Pm sasa
 
PM Mtarajiwa Hana makundi. Na ni kio ngozi mahiri asiyekuwa na uccm wala ucdm na Mh JPM anataka kulifanya taiga kuwa moja. Ila namsilitikia Mh Nape alitegemea Sana kuwa PM. Mpeni pole.

Hahahahaha! Unajua wewe una utani mbaya sana!
 
Wikipedia
 

Attachments

  • 1447917643893.jpg
    1447917643893.jpg
    43.5 KB · Views: 563
Katika kazi ya kuteuwa Waziri Mkuu umefanywa kwa weredi nimeona binafsi kuwa Kassim Majaliwa ni bora kuliko wale tuliowazoea maana Bora Panya mpya kuliko panya wa Ghalani".

Maana panya wa ghalani kumfukuza ni kazi na usipokuwa makini unaweza kuangukiwa na magunia!ila panya mpya ni bora si muharibifu kama mwenyeji!Naona sasa ile dhana ya kuwa na viongozi tulio wazoea inaanza kupotea.

Hapa naanza kuona hata mawaziri wanaweza kuwa wapya!
Hii inaweza kurudisha imani katika chama cha mapainduzi.
 
Back
Top Bottom