PRINTABLUE
Member
- Jul 15, 2012
- 79
- 9
WEEE CHEZEA INGINE USICHEZEE NCHEMBA YEYE INAPIGA MAJIWE TU. DAWA YA HOJA NZITO KIZUIZI CHAKE MAWE! JAMANI BWEPANDE LINASHINDWA KUSIMAMA ALONE LINATAKA KUZIMA HOJA KWA MIJIWE. TAKE CARE CDMsYani maneno yako tu yanaonesha maneno yako!
Unatamani chadema kifutwe maana operesheni imekushika hadi ukaona uwatume watu warushe mawe!
Inaelekea hutimizi wajibu wako kama mbunge kwa wanasingida!
Hiyo laana ya mauaji haitakuacha!