Yanayojili Temeke na sehemu nyingine kuhusu majina na usahili wa sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayojili Temeke na sehemu nyingine kuhusu majina na usahili wa sensa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kaka mwisho, Aug 3, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ndg zangu tupia hapa yanayojili kuhusu majina na usahili wa makarani wa sensa maana kuna sehemu zingine mpaka sasa hakieleweki. Hii kitu muhimu sana maana habari toka ndani zinasema malipo si chini ya laki 5 kwa shughuli yote. TUHABARISHANENI.
   
 2. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mie niko hapa kwa afisa mtendaji kata moja ya mbagala lakini hadi sasa hawajabandika hata majina ya walochaguliwa..wewe uko wapi?
   
 3. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kata ya kijichi ndio hapasomeki kabisa. Hapo mbagala wanasemaje?
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hawajabandika mpaka sasa tuna wasiwasi wanataka kuwekana watu wao
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mbezi Mwisho walibandika toka juma4. aliyeona jina lake alitakiwa kuleta Vyeti halisi ili kuthibitishwa na kufanyiwa Usaili lakini kijana wangu anasema hakukuwa na usaili wowote ila vyeti viliangaliwa tu kisha wakaambiwa waondoke na wataambiwa kitakachofuata, Basi. Lini? hakuna aliyesema.
   
 6. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Juna uwezekano huo aiseee maana mi nimetoka kata ya Mianzini (Charambe Majimatitu) ila hamna lolote. wameniambia nirudu baadae. sasa sijui hiyo baadae ndo saa ngapi.
   
 7. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hapa MORO town napo bado hawajabandika watu zaidi ya elfu tano wanasubiri.
   
 8. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwa dar wametoa ya wilaya moja tu kwahyo ilala na temeke subrin mtaitwa tu. Mikoani muwe na subra pia.
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaaaa...!!!.mia
   
 11. k

  khamsa Senior Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ukiona hivyo ujue waislam ni wengi eneo na lengo la waislam litatimia zaidi tukiwa na wahesabuji ili watupe taarifa jinsi kaya mbalimbali zinavyogoma kuhesabiwa.
   
 12. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  hahahahaa! Wanakataa kuhesabiwa halafu wanaomba kuhesabu wenzao? Dah! Kweli hela mwanaharamu
   
 13. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ndg yangu kuwa muelewa namaanisha mikoa ambayo bado kama dodoma, moro, tabora, ruvuma na mingineyo. Wewe kama umeona ni jambo la kuwajuza na wenzako. Usilete mambo ya mipashano kama wanawake.
   
 14. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kibaha mji majina yamebandikwa tayari wastani wa walimu 4 wamechukuliwa kila shule na baadhi ya watumishi wa kada zingine. wasiokuwa na ajira wastani wa mtu mmoja kwa kila kata. leo wanachukua fomu za kukubali kazi mwisho jumapili, kila la heri.
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  sasa mbona hukusema kuwa unamaanisha hiyo mikoa?au hujui kuwa kibaha ni mkoani yaani mkoa wa pwani?acha mitusi mwezi wa ramadhani huu!!!
   
 16. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi kata ya charambe pale rangi tatu vipi?
   
Loading...