Yanayoitwa maandamano ya Zitto Mwandiga: Hayakuwa na BARAKA za wanachama

Spinning at best!. Watu wana hasira na Udikteta wa Mbowe,Huwezi kuficha Ukweli daima. Kila mwenye akili timamu anajua wazi kwamba Zitto ameonewa.

Zitto yuko kwenye panic syndrome anacheza na watu wa kwao ,kabarou alibebewa majeneza na laana imemshika mpaka leo
 
Kwa majuha tu ndiyo watakao shabikia upuzi ulio fanywa na zitto kwa wenye fikra pevu nadhani watampuuza.
Mkuu tumeshajua kumbe mratibu na mdogo wake na mpenda madaraka mwingine kama zitto so hatuhangaiki...ila jamani kwanini watu wa kgma tu mitifuano kwenye vyama e.g kafulila ,zitto na kaburu
 
Kuhusu polisi kwa nini hawajazuia tukio hilo kama inavyokuwaga kwa mengine ya CHADEMA ni kwamba, DSO (District Security Officer - Afisa UWT Wilaya) na OC-CID walipigiwa simu toka makao makuu wahakikishe wanawapa ulinzi wa kutosha hao waandamanaji. Kwa kuwa idadi ya waandamanaji ilikuwa ndogo sana, na karibu wote walikuwa ktk vyombo vya moto, makachero walikula zao ganzi tu. Inaonekana, walitarajia watu wangeshituuka. Hapa mjini leo Watu wanasema Kaburou alishawaonesha njia ya usaliti inavyokuwa, hivyo anachokifanya dogo ni kurudia tu... Wazee wanaapa kwamba "Wallah wabillah" Mtoto huyu hawezi kutufanya sisi mazezeta, tulimwamini lakin kwa hili...!! Amepoteza radhi zetu.
 
Kesho J5, Zito ataingia Mwandiga, ameshatuma Tsh 1,300,000 za maandalizi ya mapokezi.

Hii kali sana hiyo 1,300,000 ukikodi piki piki kwa Tshs5000 utapata ni piki piki 260 sipati picha mapokezi yatakuwa ya kutisha sana, ukiwa na hela wakati mwingine unaweza ukaidanganya dunia kwamba unakubalika sana
 
SASA WEWE KILAZA UNAYETUMIWA NA MBOWE KAMA KONDOMU TAFSRI YA WANACHAMA NI IPI? AU NI WALE WANAOTAKA MBOWE AENDELEEEE KUONGOZA SACCOS YAKE NA MTEI KWA MIAKA MINGNE 10..

ATA KAMA WALIANDALIWA INA MAANA WANAPOTEZA UHALALI WA KUWA WANACHAMA??? KAMA ULIVYOTUMWA WEWE NA MBOWE NA LEMA MWZI WA MAGARI INA MAANA UMEPOTEZA UHALALI WA UANACHAMA?? FKIRI KUPTIA AKILI NA SI KUPITIA....:brushteeth:
 
Zito anahuzka haitaji kutumia pesa kununua wanachama zitto ndiye chadema na chadema ni zito...asilimia 90 ya wanachama wa chadema walmfata zitto
 
Ha! Ha! Ha! ZITTO KABWE, bwana mdogo sana huyu, CHADEMA Kigoma hakikuanzia kwa Zitto, kwanza mjiulize kwa nini mpaka leo hajawaletea mabadiko yoyote zaidi ya kujifaidisha mwenyewe? hapo ndio shule anayodai shule inapogoma, Patrice Lumumba alisha sema, it is not the number of years you stayed in school buildings, but the depth of origin my dear, aende akajifunze kwa Kafulila Muha mwenzie mbona ametulia tuli,
 
Kwa majuha tu ndiyo watakao shabikia upuzi ulio fanywa na zitto kwa wenye fikra pevu nadhani watampuuza.

Makaburu Waliwaita WAZALENDO wapigania Uhuru kuwa ni majuha na wajinga wakubwa_sio kwamba ukweli walikuwa hawautambui, KWAHIYO sio kwamba ninyi vifaranga na mama zenu kuwa UKWELI hamuutambui_mnajua yote mnayofanya, ila HAKI itatawala milele
 
Nyie endeleeeni kuparurana mbowe/mtei block vswapenda demokrasia ndani ya chadema...ccm hao wanawaza uchaguzi wa 2025 cz kazi na mbnu za 2015 zlshafungiwa kabati.........hivi lema alipewa adhabu gani na CC na yeye kavuliwa ujumbe wa CC kwa kumtukana zito na kumpga mwgamba tofali mbele ya mbowe au chadema ukiwa mchaga hususani mmachame huguswi
 
Kuhusu polisi kwa nini hawajazuia tukio hilo kama inavyokuwaga kwa mengine ya CHADEMA ni kwamba, DSO (District Security Officer - Afisa UWT Wilaya) na OC-CID walipigiwa simu toka makao makuu wahakikishe wanawapa ulinzi wa kutosha hao waandamanaji. Kwa kuwa idadi ya waandamanaji ilikuwa ndogo sana, na karibu wote walikuwa ktk vyombo vya moto, makachero walikula zao ganzi tu. Inaonekana, walitarajia watu wangeshituuka. Hapa mjini leo Watu wanasema Kaburou alishawaonesha njia ya usaliti inavyokuwa, hivyo anachokifanya dogo ni kurudia tu... Wazee wanaapa kwamba "Wallah wabillah" Mtoto huyu hawezi kutufanya sisi mazezeta, tulimwamini lakin kwa hili...!! Amepoteza radhi zetu.

Hii imekaa vizuri, hapa Zitto anajivua chupi hadharani.
Atabisha vp kama yeye siyo agent wa CCM ndani ya CDM.
 
Last edited by a moderator:

Hii kali sana hiyo 1,300,000 ukikodi piki piki kwa Tshs5000 utapata ni piki piki 260 sipati picha mapokezi yatakuwa ya kutisha sana, ukiwa na hela wakati mwingine unaweza ukaidanganya dunia kwamba unakubalika sana

Kwahiyo anatumia njaa za wanakigoma kuchukua umaarufu + kuonewa huruma na watu wa kigoma kaskazini.
Poor Zitto
 
Last edited by a moderator:
Poor Zitto; kabila dogo, raslimali kidogo na akili ndogo
 
Haloo.
Kwa asili ya kazi yangu, huwa hatufanyi kinadharia, bali inahitajika critical surveillance. Nitawapasha juu ya kile kilichotokea Kigoma kwamba "eti wanachama wa CHADEMA wamechoma kadi na kuvunja vijiwe"

MRATIBU WA TUKIO
Aliyeratibu ni mdogo wake Zito anaitwa Bayona na Katibu wa mbunge Dk. Alex (tabibu). Walifanya kikao siku 1 kabla Zito hajatoa tamko nyumban kwao Zito. Walikusanya watu wapatao 20 bila uongozi wa Jimbo kujua. Katika kikao hicho baadh ya wanachama walihoji uhalali wa kikao, ndipo waratibu wakamwita Mwenyekiti wa Jimbo ambaye pia ni Diwani wa Mwandiga Mhe. Ally Kisala ambaye alipofika kikaon alikata mpango wao wa kuchoma kadi, bendera na kuvunja vijiwe, kwa maelezo kwamba Wasubiri tamko la Zito kwani maamuz yale ya KAMATI KUU ni halali na si jambo jema kuharibu mali za chama. Wajumbe wote wakaunga mkono na kutawanyika kwa kuwa adhana na swala ya Inshah iliita. Ilipofika saa 4 usiku, waratibu mpango wakaanza kupita na gari na kutangaza kwamba watu wajitokeze kesho na kadi zao....

Kifaranga mhafidhina kazini na uzushi
 
kile kitendo hakikubaliki,wale wahuni wachukuliwe hatua za kinidhamu,bora kubaki na wanachama watatu lakini wenye hakili timamu sio wale wahuni.
 
Kilele cha ukosefu wa ajira ni vijana kukimbilia barabarani kila uchao...
 
Back
Top Bottom