Yanayoikumba Kenya yanaweza kuikumba Tanzania kwa sababu ya uzembe wa viongozi.

lengume

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
319
170
Mji wa wa Arusha ni mji ambao kuna wahamiaji wengi haramu wa Kisomali. Kwa sasa wasomali ni wengi sana mpaka hata wengine hawajui kiswahili lkn wanajitambulisha kuwa ni Watanzania. Wasomali wengi wamekuwa wakifikia kwenye familia ya watu wenye asili ya Somalia na hujificha mda mrefu wakijifunza lugha ya Kiswahili. Ikumbukwe kuwa wingi wa wasomali wanaoishi Kenya ndio sababu kuu ya ugaidi ambao hufanywa na Alshabab. Sehemu kubwa ambazo wasomali wengi hupenda kuishi ni Arusha mjini Pamoja na Ngaramtoni ya juu ambayo ndio kituo cha kufikia kabla ya kutafutiwa makazi ya kudumu. Tunaiomba Serikali ifanye msako hapa Arusha ili iweze kujikinga na madhara ambayo yanweza kuikumba Nchi baadae. Waswahili siku zote husema kinga ni bora kuliko tiba. Nimefanya utafiti wa kina sana na naamini Serikali itachukua hatua za haraka.
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,436
2,000
Wanakusikia basi? Ungesema habari za cdm haraka wangerespond. Nchi hii wanajinadi kuwa wasikivu ili hali ni viziwi. Wanafurahia uwepo wa jamii ya kinana ili wawaokoe 2015 kwani arusha huwa wanaambulia patupu. Kinana hawezi kuruhusu nduguze warudi kwao kwani yeye alishawaandalia makao mazuri.
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,244
2,000
Kama wapo watakamatwa tu lakini nafikiri ni wale wenye pass za Kenya ambao wamekimbia machafuko, na wanaingia tu kihalali, usifikiri immigration hawalijui hili kuwa ni hatari kuachia watu waranderande mjini bila sheria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom